zawadi - zuchu lyrics
[verse 1: zuchu]
mon chérie ‘je t’aime beacoup
penzi lako gundi, nimenasa
mon chérie, kama uchawi upo
mganga wako fundi ‘hasa hasa
eh, mwamvuli w*ngu
moyo umeufunika
(wewe ndo)
kiboko yangu
unaejua pakunishika
[pre*chorus: zuchu]
kama mapenzi pilipili
lako laniwasha in a good way
nishakupa moyo na mwili
uwe wako ‘uchukue
[chorus: zuchu]
pokea (pokea)
zawadi (zawadi)
ya upendo w*ngu
(ya upendo)
w*ngu, my love
pokea (pokea)
zawadi (zawadi)
ya upendo w*ngu
(ya upendo)
w*ngu, my love
(instrumentals)
[verse 2: dadiposlim]
oh, uooh, oh
ma chérie, chérie
mu ungiye baridi weni komeya
mi uka makini
matso yangu ye hu ono hu fumbariya
zidisha ye zana
bawe huni lisi yilikiki kazana
(kazana)
kama mapenzi pilipili
lako laniwasha in a good way
nishakupa moyo na mwili
uwe wako ‘uchukue
[hook: zuchu & dadiposlim]
njoo tucheze kompa (kompa)
oh, baby
(mh, mmh, aah)
we laizer wewe
aah, yah, yah, yah, yah
eeh, warere (wakacha)
wakacha (warere)
mh, mh, mh, mh, mh, aah
[outro: zuchu & dadiposlim]
baby, pokea (pokea)
zawadi (zawadi)
ya upendo wa…
ya upendo w*ngu, my love
baby, pokea (pokea)
zawadi, (zawadi)
ya upendo w*ngu
ya upendo w*ngu, my love
oh, my love
Random Song Lyrics :
- fucked up - bgm lyrics
- church of the poison mind / karma chameleon - taboo original broadway cast lyrics
- my new wires - parabelle lyrics
- booska mils - ninho lyrics
- heal tomorrow - naive new beaters lyrics
- i am so blessed - the browders lyrics
- kuradang - max surban lyrics
- that vibe - vas leon lyrics
- la tua felicità - niccolò agliardi feat. edwyn roberts lyrics
- gettin' forgotten - cole swindell lyrics