nani - zuchu lyrics
eeeeh zombiee acha iyo!
[verse 1]
he one two one two eh maiki cheki (maiki cheki)
tunajump jump eh kama kitenesi
eh! kama kalambwanda nda nda kalambwasi
na kama huna msambwandaa usingie kati (ayeee)
[bridge]
alulue alulueee (alulue alulueee)
aah kama mtu hachezi mzabue (tumzabue tumzabue)
sema alulue alulueee (alulue alulueee)
kama mtu hachezi tumtoee (tumtoe tumtoe)
[chorus]
eh nani anaweza kulicheza sagarumba
mimi ninaweza kulicheza sagarumba
nauliza nani anaweza kulicheza sagarumba
nasema mimi ninaweza kulicheza sagarumba
maftaaa ta mafta taa mafta taaa
yamemwagika yamemwagika yamemwagika
mpaka chini mpaka chini mpaka chini
amina amina na mwajuma
wanaringa hawa kima
k*mbe wanauza
usiseme hivyo
[verse 2]
kilode kilode kilodee
watoto wadogo wanataka nipotee
haa! labda nif*kiwe chini wala wasiwaongopee
hee! shindo langu mimi mjikusanye wote
haya sеma shkamoo dada (shkamoo dada)
shkamoo kaka (shkamoo kaka)
mniamkie shkamoo mama (shkamoo mama)
shkamoo baba (shkamoo baba)
[bridge]
alulue alulueee (alulue alulueee)
aah kama mtu hachеzi mzabue (tumzabue tumzabue)
sema alulue alulueee (alulue alulueee)
kama mtu hachezi tumtoee (tumtoe tumtoe)
[chorus]
eh nani anaweza kulicheza sagarumba
mimi ninaweza kulicheza sagarumba
nauliza nani anaweza kulicheza sagarumba
nasema mimi ninaweza kulicheza sagarumba
aah twende maftaaa taa mafta taa mafta ta (yana nini)
yamemwagika yamemwagika yamemwagika (eti mpaka wapi)
mpaka chini mpaka chini mpaka chini (mamaaa)
Random Song Lyrics :
- ich habe torch enttäuscht - silla lyrics
- demon - dean blunt lyrics
- key to the streets - skeme lyrics
- temps additionnel #2 - pierlo (le p.) lyrics
- i can't wait - alex medina & andy mineo lyrics
- todo va a estar bien - xuna lyrics
- echoes pt. 1 - see it my way lyrics
- concepts - valley hush lyrics
- competition - a.w. lyrics
- the call - rainmaker lyrics