take it slow - zikki lyrics
eh, eh, eh
a main switch production
eh
tarintan tan tarintan tan, yeah
tarintan tan tarintan tan, yeah
tarintan tan tarintan tan, yeah
mapenzi ni bahari lisilo na mwisho
mapenzi ni moto kwa roho na haichomi
yeahh!…
nimempenda msichana
wa kisonko, me humwona kwenye ndoto
usiku nikiwa ghetto
ye huishi runda, kwetu ni dandora
kuna rushwa makombora
na k*mejaa wakora
lakini je, anakupenda
najua we unampenda
basi nenda polepole
siku moja utampata
mpenzi w*ngu never leave
me (never, never)
mpenzi w*ngu twende polepole
take it slow,as you go step by step
take it slow, as you go step by step
anabonga tu kilami
na hapendi mama pima
hapendi za madondo
anataka tu mapizza
anabonga tu kilami
na hapendi mama pima
hapendi za madondo
anataka tu mapizza
enda polepole
(enda pole pole)
bado unasaka
(bado ninasaka)
chochote unataka
(chochote unataka)
with time utapata
(with time nitapata)
hakuna matata
(hakuna matata)
hakuna matata
(hakuna matata)
enda polepole, bado unasaka
(bado ninasaka)
eh
mpenzi w*ngu never leave
me (never, never)
mpenzi w*ngu twende polepole
take it slow,as you go step by step
take it slow, as you go step by step
(as we go)
eh
mpenzi w*ngu never leave
me (never, never)
mpenzi w*ngu twende polepole
take it slow,as you go step by step
take it slow, as you go step by step
(as we go)
Random Song Lyrics :
- voz na multidão - blind pigs lyrics
- sad boy meet sad girl - seikuru lyrics
- on lit on lit - jasper sawyer lyrics
- dear wax - wax lyrics
- energy - katy perry lyrics
- viten og mot (stolthet) - helheim lyrics
- heart of stone - willim lyrics
- romance de quinta - o loicas lyrics
- 55,000,000 - potty monkey lyrics
- gonner - lil 2nail lyrics