maya - ze bato16 lyrics
ze bato b sixteen bartmeo……….
….chorus…bartmeo
ulinikabidhi imaya yako
nikauweka wazi moyo kwako
alinijua paka mama yako
akakubali niwe mume wakooo
nilidhani unanipenda “maya”
umenitenda “maya”
umetonesha kidonda “maya”
….vers ze bato16
baby mbona umeniacha nyumbani
k-mbuka ilivosema kanisani
me niwako uwezi kuniacha
tatizo ni nini paka leo umeniacha
nilikuita mamy ukaniita daddy
sikukutamani nikakuweka ndani
tatizo nini oh bby why me
nikik-mbuka tatizo kichwani haiingii
uliniacha alone cheki!
uliniona sifai eti!
unataka watoa check!
alafu mi uniweke bench!
……no way out……
unamapenzi ya kweli bora ni sugn out
usinipe maradhi kwanza we get out
listen to me usiniite baby
unachako humu ulikuja na bag
……chorus bartmeo again…..
….vers two ez bato16
nimesha vumilia sana hii time na give up
nimesha umia sana moyoni ngoja ni sign out
mapenzi gani kila siku maajabu shida tabu
hakuna furaha nawe ndo sababu
kuishi bila wife daima takua first
kila nae muamini tatizo hakuna best
wote wako sawa wanacopy na kupaste
siitaji wife d naitaji kurest
mapenzu ya mbali hafifu who say never
kwanza jifunze arifu ujekua clever
mamilion watu wana chit tu forever
siitaji wife mamy and daddy i say never
i hate you hii time imebidi
bora ungekunywa pombe ila uansmoke weed
sikutaki teana usije ghetto
usijesababisha niingie sero
kwako sina uruma zaidi ya tero
…..chorus…and brg chorus…..
outro..
yeah! kbn star is in da bulding umezingua nimekuacha kwa makusudi
yooo! wananiita b sixteen swax president along side bartmeo you know what am say
d touchz i see you meneja king saly and my boy tonee and i see you chollo gangsta kbn is in ……am out
Random Song Lyrics :
- katana - gimu lyrics
- 心に花を (kokoro ni hana wo) - puffy amiyumi lyrics
- more than it ever was - animoya lyrics
- lost love (interlude) - james fisher lyrics
- teenage emotions - xaeforever lyrics
- şaka değil - zeynep dizdar lyrics
- revoada no colchão - marcynho sensação lyrics
- ex love - m∆xwin lyrics
- raise some hell now! - asp lyrics
- kimba - i cavalieri del re lyrics