sweetie sweetie - zabron singers lyrics
[verse 1]
hatimaye ni leo, ni siku yetu
siku yetu muhimu, harusi yetu
uwepo wenu nyote eh eh, kwetu ni kitu
kwetu ninyi ni ndugu, leo na kesho
harusi maua, ng’aring’ari wanapendeza
leo ni furaha, shangwe na furaha
harusi maua, tabasamu, suti na shera
wacha tufurahi, sote tufurahi
[chorus]
sweetie sweetie sweetie
haikuwa rahisi, eh sweetie
tufike, my baby, leo hii
na hapa tulipo
ndio siku yetu, ipo, muhimu ya harusi
sweetie sweetie sweetie
haikuwa rahisi, sweetie
tufike, my love, leo hii
na hapa tulipo
ndio siku yetu, ipo, muhimu ya harusi
[post*chorus]
sasa nyumba moja, mwili mmoja
kila kitu ni moja, tuwe pamoja
upendo naongeza, nawe ongeza
heshima na pandisha, tuwe pamoja
[refrain]
sweetie sweetie sweetie
haikuwa rahisi, eh sweetie
tufike, my baby, leo hii
[verse 2]
sasa wewe ni mimi, mimi ni wewe
we ndo mwendani w*ngu, rafiki yangu
sasa wewe ni mimi, mimi ni wewe
we ndo mwendani w*ngu, rafiki yangu
na wazazi wameona wakaturuhusu
kwa furaha wakasema eh “tumewabariki”
na mwenyezi maulana, atatubariki
tukazae na tulee eh, watoto wazuri
[chorus]
sweetie sweetie sweetie
haikuwa rahisi, eh sweetie
tufike, my baby, leo hii
na hapa tulipo
ndio siku yetu, ipo, muhimu ya harusi
sweetie sweetie sweetie baby
haikuwa rahisi, sweetie
tufike, my love, leo hii
na hapa tulipo
ndio siku yetu, ipo, muhimu ya harusi
[post*chorus]
sasa nyumba moja, mwili mmoja
kila kitu ni moja, tuwe pamoja
upendo naongeza, nawe ongeza
heshima na pandisha, tuwe pamoja
[refrain]
sweetie sweetie sweetie
haikuwa rahisi, eh sweetie
tufike, my baby, leo hii
[verse 3]
yandoa mengi mengi, tupande nayo
sweetie nikuheshimu, uniheshimu
mahaba motomoto, yawe ni wimbo
kwetu yawe waridi, yakanukie
walikuepo, walitamani, nao watafunga harusi
wakaparangana haikuwezekana
kama si nyinyi, tusingefika hapa na kufurahi hivi
na leo ni leo, mambo sasa ni mambo
[chorus]
sweetie sweetie sweetie
haikuwa rahisi, eh sweetie
tufike, my baby, leo hii
na hapa tulipo
ndio siku yetu, ipo, muhimu ya harusi
sweetie sweetie sweetie baby
haikuwa rahisi, sweetie
tufike, my love, leo hii
na hapa tulipo
ndio siku yetu, ipo, muhimu ya harusi
[post*chorus]
sasa nyumba moja, mwili mmoja
kila kitu ni moja, tuwe pamoja
upendo naongeza, nawe ongeza
heshima na pandisha, tuwe pamoja
[outro]
na tutak*mbushana, kukaa na mungu
familia ya mungu, hujaa upendo
wema kwa ndugu wote, wa pande zote
tutapendwa na wote, hata na mungu
Random Song Lyrics :
- i used to be fun - teen jesus and the jean teasers lyrics
- 粉雪ニ吠エル義士 (konayuki ni hoe eru gishi) - dragon guardian & knights of round lyrics
- much to talk about - larry fleet lyrics
- jestem tutaj - instynkt lyrics
- etrafına bir bak - rüzgar lyrics
- пирог (pie) - вафли для сони (vafli dlya soni) lyrics
- danza - franco ricciardi lyrics
- certified fortnite gamer - lil fortniter34 lyrics
- don't let it in - moontown (band) lyrics
- look what you made me do - adekunle gold & simi lyrics