agnes - young ferooz lyrics
najua mda mulefu sij*pata kukuona
hata kama mi sina kitu
ila bado nasonga
uwepo wako kw*ngu najihisi raha
but upo mbali yangu amani sina
nimemisi upendo na upole wako
nikiwa nawe kando nadeka mwenzako
naamini nimezaliwa kwa ajili yako
ooo ooh
agii iiih agnes
nakosa raha juu yako
agii iiih agnes
nikicheki picha zako
agii iiih agnes
baby i miss you
agii iiih agnes
and i love you
instrumental
wala usiamini
kwamba nakusaliti
hao wanafiki dear
nitakua mkatili
kuvunja ahadi
mwisho mungu anilaani
sweetheart
sikia mpenzi
kwani mambo yote mpangaji ni mwenyezi
sio kwamba sikupendi
hata brother dully alisema
kwa baby cand (iiiiiih) eyiiiih
agii iiih agnes
nakosa raha juu yako
agii iiih agnes
nikicheki picha zako
agii iiih agnes
baby i miss you
agii iiih agnes
and i love you (uuuuh!)
uuuuh hu!
iiiih hi!
aaaaah, iiiiiih
agne… eeeh, agne… eeeh
agne… eeeh, agne… eeeh
nimek*misi, nimek*misi
iiiiiii hi iiih!
(weeps)
Random Song Lyrics :
- revolver - verifiziert lyrics
- trippin’ - mukuro & disry lyrics
- everyone's famous - manel navola lyrics
- lullabye for wayne (live at lmu) - weezer lyrics
- no nos interesa - las olas lyrics
- всё, что говорят (everything they say) - werby lyrics
- elevator - mxmtoon lyrics
- enhancing music collaboration with efficient file transfer methods - author lyrics
- jailhouse - gotham city syndicatez lyrics
- on est méchant - ades lyrics