lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

tzk (tabia za kibongo) - young daresalama lyrics

Loading...

basi mpaka pamba anatokea
kwenda kwa waganga ameshazoea
nyumba za kupanga zimejaa umbea
na ukishikwa unachambwa usije kuongea

wengine kawa washamba ila ndo wana hela
wengine kawa baba ila ndo masela
wengine wanapanga wazamie kwa mandela
ila wengine wana mapanga lazima utoe hela

utamkuta yuko bar hata kama mf*koni hana hela
utakuta anasema sana hajui anacho ongea
hizo tabia za kibongo
hizo tabia za kibongo (lala lalala)
hizo tabia za kibongo
hizo tabia za kibongo (lala lalala)

wakupendaga vitamu, hawana kitu
ila vile wanavaa utasema bongo bahati mbaya
hii ni daresalamu baby
ati wana beef hadi za issue ndogo kama kutosalimiana

hapo juu instagram kudiscuss stori za mastaa
wana sehemu ya kukaa
na wanashindaga maskani
kudiscuss stori za wenzao bora hata ashinde njaa
huku *n*lia njaa kule w*n*lia njaa
ila ikifika ijumaa viwanja vyote vinanoga
nikicheki walivyovaa machizi wanashine
machizi wana yeezy ambazo hata hazijatoka

utamkuta yuko bar hata kama mf*koni hana hela
utakuta anasema sana hajui anacho ongea
hizo tabia za kibongo
hizo tabia za kibongo (lala lalala)
hizo tabia za kibongo
hizo tabia za kibongo (lala lalala)

heyoo, howeee

shida nini kwako wee
unaumiza wеnzako tu
hauelewi usawa huu
hakuna apendayе taboo

utamkuta yuko bar hata kama mf*koni hana hela
utakuta anasema sana hajui anacho ongea
hizo tabia za kibongo
hizo tabia za kibongo (lala lalala)
hizo tabia za kibongo
hizo tabia za kibongo (lala lalala)
karibu bongo daresalama kwani we uko wapi?
mabombo wanajua sana kila mtu ni mjanja
mshamba yu wapi?

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...