lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

outro daresalama - young daresalama lyrics

Loading...

nawaza kombe la ushindi
sitaki glass ya bakari
maisha yanakwenda fasta

kama gari ni bugatti
sidanganyiki na bata
nsharidhika na ugali
n*z*di kuwaacha fake mcs na maswali
leo ujinga kaniacha na uzembe kaenda mbali
na uvivu ndo kadanja sikuizi hata silali
washa mwenge wa amani washa moshi hewani
brother kesho haijulikani
leo uko hai cheza nami
huu mziki naufanya bila stick za home
we mbwiga unantisha kivipi am grown
broh am strong ila naheshimu machizi
mi ni young but am after doh so lazima niwe busy
and am preety busy
natataka girfriend now noo! no!no!
nshafika umri wa kuoa
sio kuitwa boyfriend now
wanasema me sio concius kwao
hawajui nilichofanya me ndo favorite wao
coz nakaza huku naanza safar ya mziki huu
alafa nalaza walio anza huku napitia kwa juu
usiogope mi ni mdogo tuu
ila nang’ta kama mamba aliekamata kangaroo

no bomboclak in ma head
me am smooke music
let me smoke it all day and k!ll this beat
hii ni gongo we soft drink
oyah mbez tell them what you think beibe
huna budi kuniheshimu
ka inabid nkuheshimu
am all about cream
nipe kwanza taslim (cash)
hizi verse zinastim na elimu
za kuwatoa walioslim kweny ibada za mizimu
naona fake rappers ka cartoon
naspeak fire nawaburn kama kuni kwa hizi flow
sitabiriki kama mvua za dar es salaam
leo nnadoh acha nshike na nshafika platinum

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...