lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

daresalamu (outro) - young daresalama lyrics

Loading...

nimewatisha tu wameacha kurapa
saivi wanasali ati baba tusamehe
nimeshapiga hatua siwezi kushinda tu maskani
hii nafasi sichezei

kila nikitaka kuwa single tu
napatanga dem
mi nilitaka kuwa simple tu
nikapata natrend

sometimes naenda chimbo tila natrend
bila single ni kesho kila weekend

basi wanahate, mi huku namake
ukinitukana sisomi comment (nop)
we tukana kauze gazeti
ila tukikutana bora utajibu kesi

nijiongeze sound
young jeezy in the house
si *n*leta jau, huyu mtoe out
unataka show na nyau
basi ongeza dau
na ka nimekusahau usione nadharau

basi wanahate, mi huku namake
ukinitukana sisomi comment (nop)
we tukana kauze gazeti
ila tukikutana bora utajibu kesi
basi wanahate (oooh)
watu wanahate (woo)
basi wanahate (oooh)
watu wanahate hate hate

si tuna bang, si tuna bang
si tuna bang, si tuna bang
si tuna bang bang bang

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...