daresalama (intro) - young daresalama lyrics
nawaza kombe la ushindi, staki glasi ya bakari
maisha yanakwenda faster kama gari ni bugatti
sidanganyiki na bata nisharidhika na ugali
n*z*di kuwaacha fake mcees na maswali
leo ujinga kaniacha na uzembe kaenda mbali
na uvivu ndo kadanja, siku hizi hata silali
washa mwenge wa amani, washa moshi hewani
brother kesho haijulikani leo cheza nami
huu mziki naufanya bila sticky za home
we ndwiga unanitishia kivipi i’m grown
bro i’m strong ila naheshimu machizi
mi ni young but am after doh so ni lazima niwe busy
and am busy busy, nataka girlfriend now (no no)
nishafika umri wa kuwa so naitwa boyfriend now
wanasema mimi sio conscious pro
hawajui nilichofanya mi ndo favourite wao
cause nakaza huku naanza safari ya muziki
alafu nalaza walioanza huku napitia kwa juu
usiogope mi ni mdogo tu
ila nang’ata ka mamba aliyekamata kangaroo
no bomboclat my head mi i smoke music
lemme smoke allday and k!ll this beat
hii ni gongo we ni soft drink
oya mbezi tell’em what you think baby
haina budi kuniheshimu ka inabidi nikuheshimu
i’m all about green nipe kwanza taslmu cash
hizi pesa zina stim afuelini ya kutoa walio slim
kwеnye ibada za mizimu
mbali naona fake rappers ka cartoon
stabiriki ka mvua za darеsalam leo na doh
acha nishike nishafika platnumz (paka!)
Random Song Lyrics :
- just go away - danny g & the major 7ths lyrics
- outrage - the interrupters lyrics
- rosine - pieta brown lyrics
- right away - mickey blue lyrics
- leonardo - pierce pettis lyrics
- freedom - daniel piercxe lyrics
- wut u said? - dj premier lyrics
- shawty (#bouhbier2) - empty7 lyrics
- barnacles - justin abisror lyrics
- mood - sadboytaki lyrics