k.k.k.d (freestyle) vol.2 - young chii lyrics
intro
yeah yeah..
its young chii roccana..
(verse)
unaweza kuamka na mkosi ukakataliwa mpaka na wanaojiuza..
sikh hazifanani bro,ukipata mtonyo tunza..
ukipata ukuda vunga..
akianza kabla hujaanza,tumia kinga chunga..
siku hizi mambo mengi mzee..
mkimaliza kunidiss,please mniombee..
aah..
mkipewa sifa,mnavimba bichwa ..
me huwa nawaza afu sipati picha..
labda studio..chimbo nimemute..
nimejitafuta sana,no doubt sijikuti..
wana ndo wanaweza kuwa wanafiki..
wanakubali sena wanaonyesha hawaajafiki..
tuna saa tuu, … we got no time..
mada sio mada kama sio pesa au mademu..
na shule hatukufeli,hatukufaulu wanavotaka..
shout out kwa mesen,siku hizi young chii chata..
niko dom nimelala night,sinza k*mekucha..
sins future..
ndo kauli ya mwisho toka kwa ex..
afu fresh sio ya fid
bad boy,sean combs diddy..
ukileta u*whack,nacontrol a delete all..
choka mbaya,chaka bovu,haters get em all..
nimekasirika,sema tu sina hasira..
nilisikia kuna mrithi,r.i.p godzilla..
me ndo young pekee mwenye flow lunya,mila..
anao anao dina,a.k.a roger mila..
okay,yechu..
slay queen baada ya show,ukinambia mambo ni kwa yesu..
walituma jini makata,nkampakata..
at a ukivunga si tulivunga kitambo umenipata..
(outro)
kibabu kichawi kwenye dundoo
they call me young chii,roccana right..
Random Song Lyrics :
- qué manera de llamarme - alex zurdo lyrics
- quando tudo dá errado, brota algo do nada e piora - 2ois lyrics
- o ralador - simone lyrics
- timeless - illa j lyrics
- teu nome - filhos do homem lyrics
- rokkugoh (japanese) - super junior t lyrics
- o brilho dos teus olhos - acácio vieira lyrics
- sotsugyo - soulja lyrics
- besta bailarina - zico e zeca lyrics
- povo nagô - zé vicente lyrics