opps - ymv keim lyrics
[intro]
yeah
mhm mhm
yeah
keim!
they know this man
sawa (woooo)
[verse: 1 ymv keim]
flow naic*ck (bow), hit n*z*block
we chunga mdomo, ama nikukate throat
si unajua naturally ni vijana ma light skin
ndio huwa maboy wa soft
mi sio dentist but na floss (aha!)
kibra ndio home of the hawks
unafaa kuwa fresh adi kwa socks
keim ndio boss ka rick ross
we uko unreal ka comic, b*tch na haribu catastrophic (grrr!)
itabidi mmejitayarisha juu sai mziki yangu inaspread ka covid
sijai sniff cocaine (no!), dunhill no way (d*mn!)
bangi all day (d*mn), mchoki ni tei (aha!)
ka ni msupa mi na pay (na pay), na fanya dhambi na na pray (amen)
humble b*tchez don’t slay (no), mboka ni mboka adi mjei ayyy
[hook]
kam ka unagode mi nare sikosi, chunga mdomo mingi zikisha ripoti (ah)
snitch nitakutrace nikudiss na kikosi
mi ni street so look both ways before you cross me
mi ni street so look both ways before you cross me
mi ni street so look both ways before you cross me
[ verse: 2]
ayyy
shawry amenimaliza, smile ka ya mona lisa (mschwaaah)
kula mzoga ukishindwa kuwinda (aha!), baf ka dave bautista (grrr!)
na fanya tricks ka wizard, wananifollow me leader
mungu pekee ndio giver (ye), nataka moti ka beamer (yea)
nikikudiss we iza, i’m the resurrection of e*sir
nikona tattoo ya lizard, sipendi kizungu ya england
msupa joh si tu link up, nimefanyiwa brain implant
wako immature ka infants, ayyy ayyy ayyy
nikirap na unleashingi demons, i’m handsome and young and rich kama migos
compe ni stiff ka ile ya eagle, we uko single unalia kaa wimbo
nyi ni ma dwarf me giant (giant), si fuati dini kwa science (no way)
ishii maisha yako na uwache usoro ama ufinywe kwa b*lls na pliers
[hook]
kam ka unagode mi nare sikosi, chunga mdomo mingi zikisha ripoti
snitch nitakutrace nikudiss na kikosi (kikosi)
mi ni street so look both ways before you cross me (yeah)
mi ni street so look both ways before you cross me (aha what!?)
mi ni street so look both ways before you cross me
[verse: 3]
drip mingi unaeza drown (aha), sijakuwa side ya makarao (aha)
mi si wapendi na si wa chukii, joh na wa dharau (d*mn)
thanks god almighty (amen), strike you like lightning (tzzzz!)
mi huteka mangeus ka wote unaeza dhani mi ni lightskin
story mingi mi sipendi (sharap), if you owe me then pay me (pay me maaan!)
unanifanyisha makataa bro najua unadhokoma daily (kwa onenga!)
sikiza hiyo beat dab (dab!), ngoma ni hard trap (trap)
beamer ndio dream car (daah), roho ya simba (aha!)
keim manzee na thank god juu nilizaliwa na abilities (abilities!), vitu zingine za ajabu nikikuambia itabidi umeamini g (mooooo)
sherehe ya ki fathe inatakaga mabazu wakilewa hawatingikii (ayyy)
never looking back again manzee na rap to infinity
na sesa p*ssy inaganda, spot nataka ni ya kwanza
mdomo ni ka uko chama, ndio maana we hublander
me sijaipenda madrama, hiyo ni kazi ya umama
mososhi huringa sana, wengine walipata dimanga
pesa pekee ndio nasaka, keroma pilau masala
ghetto sheria ni kunyanya
[hook]
kam ka unagode mi nare sikosi, chunga mdomo mingi zikisha ripoti
snitch nitakutrace nikudiss na kikosi
mi ni street so look both ways before you cross me
[outro]
yea
keim
Random Song Lyrics :
- patas de cabra - miss ganjah lyrics
- nothing left - laeland lyrics
- come to my house - asteriah lyrics
- los angeles. - will hyde lyrics
- birds - kelly mcfarling lyrics
- untitled - rip scotty & leeo lyrics
- seven zero - maclaren lyrics
- sullen - fcky.scandal lyrics
- the bitter with the sweet - moe bandy lyrics
- it's called payback, son - two years dead lyrics