lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

linawachoma - ydnw dive lyrics

Loading...

[hook]
eti nawaza lini ntakua na jina namie?
uku minawazima naagiza pochi kwa china

[bridge]
uku wanadis minajituma, eti ntapata tabu
uku wanahisi minawasa, eti ntapata adhabu

[hook]
linawachoma mama linawachoma!
linawachoma mama linawachoma

[bridge]
(instrumental)

[verse]
nahishi kwa mama bado kijana twacheza makereko
nikula nachotaka nanenepa mpaka navimba
twacheza malereko make’ makereko
twacheza malereko make’ makereko

[bridge]
(instrumental)

[verse]
wapenda collabo*naminitake hizo
n*z*le shobo niacheni nazo
umecheza mchereko machine kope akili mbovu
wameleta upepo na zinakutoka pepo
[hook]
linawachoma mama linawachoma!
linawachoma mama linawachoma linawachoma mama linawachoma!
linawachoma mama linawachoma

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...