lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

madimanga - xtīg£r lyrics

Loading...

madimanga
saba gang
xtīg£r x smart vella x reffa f*ckmaina

jea, jea saba gang! jea… cheki

[intro : xtīg£r]
ni dimanga na header za kishadda…
zimeshika na steam za kajaba
ma*antirada kuna machupa na mahaga
na ka wee ni mbleina mbogi yangu inakupanga

[chorus : smart vella]
madimanga ni maheader za kishadda
dunda na hiyo beat bro huskii amenimada
ni ya yellow… kidesign ya wakamba
na kishada… anapenda kukiwaka
kuiva kunyanya kuborogonya sana
madimanga ni maheader za kishada
dunda na hiyo beat bro huskii amenimada
ni ya yellow kidesign ya wakamba

[bridge : xtīg£r]
wanati wakaki nawavulia shati
mabati majani mimi sidai
kahawa kachai katei
nataka tu kuvai kishada kingwai
nivuke to the sky!
[verse 1 : smart vella]
hii ni ya wase wanapenda tu mangwati
nadai jaba… tu*maini si mabati
kata tenje jo mteja hapatikani
siko lojo… niko kw*ngu kejani
nachil hapo wakam niwasurf*pass
wadunge hizo pantie na hizo mini*skirt*skirt
leta shada… ni morio wa kingwaingwai
leta shada ni morio wa kingwaingwai

[verse 2 : xtīg£r]
ati bash ni waras tupatane huko ndaani
iviisha macho…zichachishe hiyo rangi
na wagith0m*… apatiwe kisk*nkin
afeel so high akisema woi ngai
nipate kwеnye party nikimedi katikati
bash ni ya waras ni kishada si chapati
bash ni ya waras tupatane huko ndaani
nipatе kwenye party nikimedi katikati

[bridge : xtīg£r]
wanati wakaki nawavulia shati
mabati majani mimi sidai
kahawa kachai katei
nataka tu kuvai kishada kingwai
nivuke to the sky!
[chorus : smart vella]
madimanga ni maheader za kishadda
dunda na hiyo beat bro huskii amenimada
ni ya yellow… kidesign ya wakamba
na kishada… anapenda kukiwaka
kuiva kunyanya kuborogonya sana
madimanga ni maheader za kishada
dunda na hiyo beat bro huskii amenimada
ni ya yellow kidesign ya wakamba

[verse 3 : smart vella]
mi nadai usiku sacco nimetulia sana
sistaa rozzie amewasha kishada
na zake zimenyanya ni morio wa mangori
ameleta mastori anadai kunicopy
design ya kadollie kadollie
kanakwo kanatoka tu kwa pango
ipige flash jo bila kuuliza mpango
usiku sacco…
ukitaka mpango wa kando …zima candle

[bridge : xtīg£r]
wanati wakaki nawavulia shati
mabati majani mimi sidai
kahawa kachai katei
nataka tu kuvai kishada kingwai
nivuke to the sky!
[chorus : smart vella]
madimanga ni maheader za kishadda
dunda na hiyo beat bro huskii amenimada
ni ya yellow… kidesign ya wakamba
na kishada… anapenda kukiwaka
kuiva kunyanya kuborogonya sana
madimanga ni maheader za kishada
dunda na hiyo beat bro huskii amenimada
ni ya yellow kidesign ya wakamba

[verse 4 : reffa f*ckmaina]
motomoto maumboko makushoto
majoto hakuna ponyooto
mi huzoom manjegi na mahaga kwa mamboto
namo usiku huwezi nikosa nako totoo
ju lazima kukapasha kijoto
kugonga kinyundo kulamba kinyondo
na tumejipin na waroro
wanachora saba tukiguza tu mororo
fom ni kichupa tukiseti tu makoro
ka lawama ni mimba, leta tutabeba
ju si ni mabazeng’a na si ni waganga
tunaamini miti ni dawa
na mangeus tunatibu mangeus wanapagawa

[chorus : smart vella + xtīg£r]
madimanga ni maheader za kishadda
dunda na hiyo beat bro huskii amenimada
ni ya yellow… kidesign ya wakamba
na kishada… anapenda kukiwaka
kuiva kunyanya kuborogonya sana
madimanga ni maheader za kishada
dunda na hiyo beat bro huskii amenimada
ni ya yellow kidesign ya wakamba

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...