xhatoh - rudi - xhatoh lyrics
“chorus”
yeah,yeah,yeah
siulisema hutonacha mimi
yani kwenye ukame mi sistahimili
usiku mi silali tu nafikili
nimekuzoea rudi home mami
asa mbona home npo tu mimi
toka umeondoka leo wiki ya pili
usiku mi salali tu nafikili
nmekuzoea rudi home mami
“verse”
(yah yah yah)
mi nakonda kinoma we unaenda
dodoma(ivo so poa)
nifikilie kidogo girl usinipe kisogo
(nikipiga pokea)
ntaongea ya moyoni j*po usoni hunioni
(sitokufokea)
umefanyaje hizi mboni mbona wengine
siwaoni
d*mn i miss u so much girl can u juxt
came home
(home) i have try not to miss you
but for real i can’t
i remember back inna days bunch nigas
want you call me back if you safe
(chorus)
siulisema hutonacha mimi
yani kwenye ukame mi sistahimili,usiku mi silali tu nafikili
nimekuzoea rudi home mami
asa mbona home npo tu mimi
toka umeondoka leo wiki ya pili
usiku mi salali tu nafikili
nmekuzoea rudi home mami
(verse)
f*ck stripers f*ck b*tchs can’t handle
the way you do is better unaweza sana
aliekuiba amepaata sizan kama ni level
yako sio level yangu my style they slow
non niga can reach
blabla kwako bebe w*n*leta umbea
(in reverb sound)
nilivimba sana sasa umeondoka mimi
kichwa chini
nimepiga simu kwenu bado hujafika, upowap kwani?
nidanganye unarudi ata nitabasamu sema
bas lin?
kimwili nishakonda mami w*ngu unao
utaurudisha lini?
written by @xhatoh
Random Song Lyrics :
- without a talk - denis seven lyrics
- stop it - vincit (빈시트) lyrics
- stonato - santo blue lyrics
- gang - browlergang lyrics
- yıktım dünyamı - gülden karaböcek lyrics
- still zandra - dean quinn lyrics
- one room apartment - rodry lyrics
- threshold - under the bed lyrics
- c0ntr0l - kuroihana lyrics
- oh no nah not again - ysk az3l lyrics