lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

so mara ya kwanza - xhatoh lyrics

Loading...

so mara ya kwanza lyrics
xhatoh , kanno
so mara ya kwanza
yeah

chorus
yeah tulishafanya juzi na jana niga leo so mara ya kwanza niga
(so mara ya kwanza niga)
yeah washamba wapo wengi usiogope we so mtu was kwanza niga
(stooopid)
yeah kuvaa brand juu chini hii so mara ya kwanza niga
(krrrr)
yeah tulisubili wakuchoke apa so ndo tunaanza niga

verse 01 (xhatoh)
ahh yeah umechelewa kutujua
kwa unyama huu sjui utasema nini wee
unachovimbia tushakijua
vile tumepoa utasema halloween
dada sikwepeshi (dada)
kwa bed nko bize we slay usiombe waweza mi ndo messi
mwanangu kanno waonyeshe ✨

verse 02 (kanno)
ahh yeah so mara ya kwanza (nah)
kuwapa mastanza
na soma la kwanza ,lapili,latatu ufike la saba
kiw*ngo cha dingi jibaba
hugusi kama ndo unaanza
air nike ndo ya kwanza kipindi jordan ndo anaanza
ninazo kabatini nimejaza
kila rangi kila radha
baraka sir god amejaza
mwanao mbaka nasaza
ndo mana na move kifaza
kama sitaki nataka
dingi sinaga haraka
ni kama nashusha tu bapa
ama nafuga marasta
ziwe ndefu kama pasta but usiniconfuse na pasta
nataka ngoma na basta
nile kundi la marapa
after niitieni mastripa was suturn
nile zangu ile kiblaza maniga kwa mara ya kwanza ✨

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...