l a d h a intro - xhatoh lyrics
l a d h a intro
verse 1
kwa mfano nikikukuta street unanichukia nakupa tano
swezi fosi we kuendana nami kama hakuna mfanano
ukifumaniwa skuizi utachagua mafuta au kibano
u already know
mwana nkigundua ni snitch ndo maagano
hard life skuizi nikipata dili naweka mkazo
nahifadhi pesa zikiwa nyingi nikanunue lamboghini
dream nikizipata na lay low no majigambo
b*tch be humble
please staki mtoto angu alelewe na mama wa kambo
nakula kwa sufuria za mama ntilie kama migambo
hatakama unanidai niga usije na mabango
kabla ya kula tungi niga kula
kwanza dongo(ugali)
kama huna connection this life utatanga tanga
utapandwa pandwa kichwani watakusimanga
hakuna suicide plans apa mungu ndo anaepanga
hakuna suicide plans apa mungu ndo anaepanga
ladha ep
Random Song Lyrics :
- rage - the gazette lyrics
- mamma mia - sabine sauvant lyrics
- carnaval - daparte lyrics
- bitches call me errday - tyler nicholas casey lyrics
- it was tommrow - shadows xoxo lyrics
- кто из нас (which one of us) - morphy lyrics
- one caress [live edit] - depeche mode lyrics
- la familia - arón lyrics
- more - sanja djordjevic lyrics
- phone call - mydee 52 lyrics