essence freestyle - xhatoh lyrics
Loading...
xhatoh*essence freestyle lyrics
intro
xhatoh on this one babe
essence freestyle
verse 01
cheza nami (yeye)
cheza mami
toka nkuone nahaha
dance with me
dance mami (yeye)
coz you the one that i looove
bebe nipe io chance anhaa
plz usijifanye uko bize
anhaa
npe io chance anhaa
babe mia
kwako nishaoza nishajifia anhaaa
utapoenda nipo mi pia haaa
watakachosema nitakuhadithia nitakuhadithia yayaya
verse 02
veroti yaani veroti
nnachomaanisha ni kama vannesa na rotimi
akitaka pesa nitaiba b.o.t (yeye)
anavyo nicontroll utasеma ana remonti. ayaa
konki minaye low key
mlango wеnye loki na hatutoki
kwake mchekeshaji mpoki
injini imenoki
hata msemaje sich0m*ki yeeeyeeee
autro
yeye
xhatoh on this 1 babe
boombaw.
Random Song Lyrics :
- sve te vodilo k meni - arsen dedic lyrics
- somebody - sleepy hallow & sheff g lyrics
- ground up - rachel barror lyrics
- cry sometimes - dee watkins lyrics
- ye jo halka halka suroor hai - nusrat fateh ali khan lyrics
- homesick - riddletm lyrics
- bitane - latif doğan lyrics
- te invité a volar - la bicicleta de alan lyrics
- lovers down the hall - rod sigautt lyrics
- never gonna fall - heaton lyrics