i swear - wudz lyrics
intro
you know, um
keep away from people who belittle your ambitions
small people always do that. but the really great make you feel that you too can become great
turn it up!
come on!
chorus
i swear, mimi, siachi
(i’m living my dream)
i swear, mimi, siachi
(and i’m doing my thang)
i swear, mimi, siachi
(n-z-di kusonga mbele)
i swear, mimi, siachi
(nasonga mbele hadi kilele)
verse 1
i’m a different seed of an emcee
kids in the pjs look up to me
i don’t blaze incense
for my sentence to make sense
still i’m on fire cooking raw like frying pan
rhymes so path, ka the late big pun
hawa masafara wanakunjia nani sura
na hao hao ndio walipiga kura, fura!
kutoka ndoto za ku-stare kwa blackboard
eti ndio mchoro ya kufly abroad
tulikula vitabu na bado tunauma taabu
nagaagaa na upwa na bado nala wali mkavu
maajabu ya binabadamu nimeona mengi kushida ukuta za bafu
so nalala jicho moja wazi ka illuminati
naanza na vitz juu lengo ni kubuy bugatti
siezi kaa bila ganji
na niko na kipaji
wakibonga mi nasonga
wakiswish mi naishi
wakidiss mi nadish
wakinuna mi nanona
ye ye
chorus
i swear, mimi, siachi
(i’m living my dream)
i swear, mimi, siachi
(and i’m doing my thang)
i swear, mimi, siachi
(n-z-di kusonga mbele)
i swear, mimi, siachi
(nasonga mbele hadi kilele)
verse 2
hiphop nation
wameheap hope kwa reverbnation
wengine wanakata maji kaa moses na chupa za tiptop
niko so p-ssed off
naeza wanyorea na urea kutoka kwa roof top
hiyo ndio lil wayne anaitaga “make it rain”?
generation
imekuwa brainwashed
na stuff wanawatch
wenegine ni kaa ubongo wanapelekaga car wash ama dobi
graduates kwa mitaa za nairobi wako hoi
juu kwa cv rioting ndio hobby
mahuslar wanatembea na zaburi
juu hii mitaa imekuwa kaburi
sauti yangu kwenye santuri
kujenga jamii kaa bamburi
akili si nywele, ni mali
yaliyopita si ndwele, ni hali
utamu wa shubiri ni ukali
sijali hugeuka nigalijua
kausha nyasi bro lingali jua
chorus
i swear, mimi, siachi
(i’m living my dream)
i swear, mimi, siachi
(and i’m doing my thang)
i swear, mimi, siachi
(n-z-di kusonga mbele)
i swear, mimi, siachi
(nasonga mbele hadi kilele)
verse 3
media ilipatia jaguar airplay
akaamua ku-buy airplane
meanwhile the rap game is so f-cked up
hata unaeza give up
but not me
me niko mbele kaa kitambi ya mp
nyi mko nyuma ka era ya bc, mc
kureverse cap
haikufanyi pac
i stay persistent like a dry cough
i can’t stop even when i hit the top
yea, word up!
chorus
i swear, mimi, siachi
(i’m living my dream)
i swear, mimi, siachi
(and i’m doing my thang)
i swear, mimi, siachi
(n-z-di kusonga mbele)
i swear, mimi, siachi
(nasonga mbele hadi kilele)
chorus
i swear, mimi, siachi
(i’m living my dream)
i swear, mimi, siachi
(and i’m doing my thang)
i swear, mimi, siachi
(n-z-di kusonga mbele)
i swear, mimi, siachi
(nasonga mbele hadi kilele)
Random Song Lyrics :
- love lies - jc wayne lyrics
- dopamine - ed staal lyrics
- lucidní sny - vercetti cg lyrics
- você nunca saberá - iza sabino lyrics
- sanuk sabai saduak - dellafuente lyrics
- gegen das licht - der weg einer freiheit lyrics
- kat - yung shrek lyrics
- narende x2 - thabiti lyrics
- sarı rich - uur lyrics
- 車輪の唄 (wheel song) - 竹渕慶 kei takebuchi lyrics