pekecha - wizz jupiter lyrics
[verse : 01]
me nna jeuli kisa we najiona mbawa
h*llo h*llo ukubwa dawa
pangwa king queen mambo sawa
ebo ebo wapambe chawa
nahisi kufika mwenzangu bado isee
ulivoning’ang’ana nusu nife hii leo
hako karangi kanafanya nsichoke mama weee
[bridge]
solo
usinishushe thamani niwe makombo
unapokiss lips kama katoto
yananifika kimo maji ya shingo
momy, dolo
usinilaze usingizi wa pono
unavonicheki kwa jicho chongo
usinishushe daraja niwe ndondo
[chorus]
basi we ndo unai (pekecha)
akili yangu (pekecha)
umeikunja kunja (pekecha)
moyo w*ngu (pekecha)
umeufunga funga (pekecha)
ulivoikamata (pekecha)
ifinyie kwa ndani (pekecha)
anh unanivuruga (pekecha)
na michezo yako kitandani
(pekecha)
[verse: 02]
napenda unavozamisha zamisha
baby unavokatika katika
kiuno unavozungusha zungusha
chini unavofunika funua maua
nami kwako zoba
baharini naelea kama boya
singida, dodoma
kababyfacе utazani umecholwa
basi unavopika napakua
unavofunika nafunua
unavoanika naanua
na unavosafisha nachafuaa
[bridge]
solo
usinishushe thamani niwe makombo
unapokiss lips kama katoto
yananifika kimo maji ya shingo
momy, dolo
usinilazе usingizi wa pono
unavonicheki kwa jicho chongo
usinishushe daraja niwe ndondo
[chorus]
basi we ndo unai (pekecha)
akili yangu (pekecha)
umeikunja kunja (pekecha)
moyo w*ngu (pekecha)
umeufunga funga (pekecha)
ulivoikamata (pekecha)
ifinyie kwa ndani (pekecha)
anh unanivuruga (pekecha)
na michezo yako kitandani
(pekecha)
[hook]
isimamie dede kama ndege
kwanza guu tende hilo tege
cheki jicho lege kanywa mbege
usifanye nicheke nikuone pembe
isimamie dede kama ndege
kwanza guu tende hilo tege
cheki jicho lege kanywa mbege
usifanye nicheke nikuone pembe
Random Song Lyrics :
- splash 1 - bongwater lyrics
- momma love - roc marciano & the alchemist lyrics
- fl0r1d4 - lil ma1lman lyrics
- c1 x fumez the engineer - plugged in (pt. 2) - fumez the engineer & c1 lyrics
- crud'amarilli - sigismondo d'india lyrics
- hatekeeper - end it lyrics
- 結んでfeel so good! - 石井妥師 (yasushi ishii) lyrics
- believe - bobj lyrics
- go home - swish da god lyrics
- envolver (live at vma 2022) - anitta lyrics