murd3r(murder) - willy paul lyrics
murd3r(murder) song lyrics by w-lly paul.song released on 17th may 2018
[intro]
hahahaa
sal di di do
-(who do you think you are young man…..pozze)
hehehehehe
bizzi b
[verse 1]
eih!
wacha niombe in tongues raka kapapa katah!
eh!eih!
wacha niombe in tongues raka kapapa katah!
eih!
heeey…mmmmh
wanaonijua,wanajua navyo penda mke w-ngu weh
wanaonijua,wanajua navyo penda na mwana w-ngu pia
wanaonijua,wanajua navyo penda familia yangu
[chorus]
sababu wanataka kuni murder
wachukue w-ngu mama
me naomba unilinde
24/7 unilinde
wanataka kuni murder
wachukue w-ngu mama
me naomba unilinde
365 unilinde
[verse 2]
ju me na nga’nga’na
nipate unga
nilishe mwana na familia
mke w-ngu sina kazi
lakini bado unanipenda
oh baby nashangaa ulikubali vipi kuwa w-ngu mimi
baby nashangaa ulikubali vipi na urembo huo wote
wenye ma rangi rover
wanataka kuni murder
naomba unishikilie,w-ngu maulana
uooooo,uooooo
nilinde na mke w-ngu
uooooo,uooooo
ilinde familia yangu
[chorus]
sababu wanataka kuni murder
wachukue w-ngu mama
me naomba unilinde
24/7 unilinde
wanataka kuni murder
wachukue w-ngu mama
me naomba unilinde
365 unilinde eh eh eeeh
[verse 3]
eih!eiiih!eiiih!
wacha niombe in tongues raka kapapa katah!
mke w-ngu amekataa deali za ma sponsor
raka kapapa katah!
wameshindwa kuni murder
wacha niombe in tongues raka kapapa katah!
familia iko bomba
wacha niombe in tongues raka kapapa katah!
wanaonijua,wanajua navyo penda mke w-ngu weh
wanaonijua,wanajua navyo penda na mwana w-ngu pia
wanaonijua,wanajua navyo penda familia yangu
uooooo,uooooo
nilinde na mke w-ngu
uooooo,uooooo
ilinde familia yangu
[chorus]
sababu wanataka kuni murder
wachukue w-ngu mama
me naomba unilinde
24/7 unilinde
wanataka kuni murder
wachukue w-ngu mama
-(i’ll have t take of you coward!:boss out to k!ll pozze)
me naomba unilinde
365 unilinde eh eh eeeh
[verse 2]
baby,cause of the love that i have for you nitakuombea
-(nooooo!you’ll have to take me out first:pozze’s wife)
yuko wapi dj mo,aaje tuombe in turns
raka kapapa!
yuko wapi sadic,aaje tuombe in turns
raka kapapa!
-(nooooo!you’ll have to take me out first:dj sadic)
-(what do you know about love you rasta?)
24/7 unilinde
-(what is it with you and this love..eh you cowards?:boss out to k!ll pozze)
wachukue w-ngu mama
me naomba unilinde
365 unilinde eh eh eeeh
[outro]
uooooo,uooooo
nilinde na mke w-ngu
uooooo,uooooo
ilinde familia yangu
uooooo,uooooo
nilinde na mke w-ngu
uooooo,uooooo
ilinde familia yangu
-(love is a big lie my dear:boss out to k!ll pozze)
-(love is the greatest commandment)
-conversations held by characters in the music video
Random Song Lyrics :
- scores - kahanna montrese lyrics
- southern cross - sailing before the wind lyrics
- niente di più stupido di sognare - lowlow lyrics
- chupa chups - cornic lyrics
- outta my system - kevin gates lyrics
- cul-de-sacs - graeme miller lyrics
- karma (interlude) - cgb lyrics
- 32 bars - king louie lyrics
- słonie na balkonie - voo voo lyrics
- 羽ばたきのバースデイ (habatakino birthday) - baby's breath lyrics