aheri mama - willy paul lyrics
oh ma, mama mama
oh ma, mama mama
oh ma, mama mama
oh ma, mama mama
i could never ask for more
mama amor, nyawa aheri mama
i could never ask for more
mama amor, nyawa aheri mama
and there is a day
ninakuita mama (aheri mama)
and there is a day
ninakuita mama (aheri mama)
najua kuna wale hawanao mama, sio kupenda kwao
najua kuna wale hawatanielewa na sio kupenda kwao
ile nyumba fathe hak*malizia, nik*malizie mama
ile nyumba fathe hak*malizia, nik*malizie mama
ile deni mathe uliomba chuo, nik*malizie mama
na ile nguo ulitamani ya jirani, nikununulie mama
mama (mama) ah mama (mama)
mama (mama) ah mama (mama)
mama (mama) ah mama (mama)
mama (mama) ah mama (mama)
oh, i remember salome
nilipokosea ulinichapa kidogo
na nilipokosa chakula mama
ulitafuta kidogo
majirani walipotokelea mama
majirani walipotokelea mama
ata sijui mbona nalia, mbona nawaza mama
sijui mbona nalia, sijui mbona nawaza mama mama
eh, hey (aheri mama)
mama (mama) ah mama (mama)
mama (mama) ah mama (mama)
mama (mama) ah mama (mama)
mama (mama) ah mama (mama)
e*eh, mmh
mathe najua unam*miss mume wako fathe
oh pole aisee, nam*miss kama mwana wake
mama i got you, anything you want just tell me
mama i got you, anything you want just tell me
mama, mama, ah
mama i love you mama, i love you mama
Random Song Lyrics :
- the dutchmans mine - birdie nichols lyrics
- fourth! - mikage lyrics
- salem - barry ii lyrics
- miku (alternate lyric/concert version) - anamanaguchi lyrics
- still believing - victoria lyrics
- the end. - reedo lyrics
- big tits - carson pink lyrics
- cold - tyrone briggs lyrics
- call - smgieee lyrics
- echoes of you - x_god_incognit lyrics