humu tu - weusi lyrics
[intro]
mccall
aye
(y’all ready know what it*)
(what it*)
you know what time it is
[chorus]
humu tu (eh)
humu tu (ah)
humu tu
kubwa babake
humu tu (eh)
humu tu (ah)
humu tu
kubwa babake
humu tu (eh)
humu tu (ah)
humu tu
kubwa babake
humu tu (eh)
humu tu (ah)
humu tu
(aye)
kubwa babake
[verse 1: joh makini]
excuse me, joh mi najiona juu ya sky
juu ya jasho, juu ya juu, ‘ju mi sikai
nikisha kula, nashushia ka divai
najiamini na kuna mtu ananidai
nasikia mzee ana tatizo na mwamba
na mwamba mwenyewe na tatizo na namba
napo zidisha hesabu, mnasikia kujamba
mi yule mjanja anaye heshimu washamba
kuongeza mashabiki ndio kutanua shamba
kitaa ni mipira, shingoni makamba
msizungumzie moja rukeni hiyo namba
watoto chipsi kuku, mimi ni sumu ya mamba
aye’
let me put in’ ki*communist
punguza wanafiki na ma opportunistic
shehe, wanajifuta kwa list
there’s a natural mystic’, flow in the air
(in the air)
[chorus]
humu tu (eh)
humu tu (ah)
humu tu
kubwa babake
humu tu (eh)
humu tu (ah)
humu tu
kubwa babake
humu tu (eh)
humu tu (ah)
humu tu
kubwa babake
humu tu (eh)
humu tu (ah)
humu tu
kubwa babake
[verse 2: lord eyez]
tunaharibu lakini hatuharibikiwi
jina lenyewe weusi ya nini kiwi?
hili neno la mungu halina kiziwi
kama ukorofi ni kweli si singiziwi
kuzitafuta kwa jasho pia ni ngumu
kuzitumia vizuri nazo ni ngumu
tuma ya kutolea
“hiyo ni ngumu”
kuwa tajiri ni ngumu kwani machawa kibao
bado kausha damu, vizinga kibao
ukitaka ku*enjoy, mange yuko kwa mtandao
watu wa [mitabao] a.k.a. mirabaha
chali ya arachuga ambaye naishi dar
airtime haitoshi, hakuna muda wa kung’aa
niwaongezee watoto viboko maana wameshindwa kukua
humu tu
ah, kuba babake
[chorus]
humu tu (eh)
humu tu (ah)
humu tu
kubwa babake
humu tu (eh)
humu tu (ah)
humu tu
kubwa babake
humu tu (eh)
humu tu (ah)
humu tu
kubwa babake
humu tu (eh)
humu tu (ah)
humu tu
(aah!)
kubwa babake
[verse 3: g*nako]
itifaki imezingatiwa, niite kinana
michongo ina k*mbatiwa a.k.a. king’ang’a
daraja mbili, ololo, mpaka kijenge, mwanama
kula piano, kula michano, hakuna pang’ang’a
kipazani ni kukaza kama napiga mikasi
sisomeki naenda mbele kama napiga reverse
mchezoni tukifika, mnachapwa redudance
na ngoma zetu mbele ya wazazi ‘hazina mokakasi
(?) peng, peng
everybody move
wamesalimu amri
wote mikono juu
gang, gang
kang, kang
(?)
in a hole
fire in a hole
weusi hao
cooperative emcees
weusi hao
game ikitaka kulala
weusi hao
haya leteni hizo hela
weusi hao
[chorus]
humu tu (eh)
humu tu (ah)
humu tu
kubwa babake
humu tu (eh)
humu tu (ah)
humu tu
kubwa babake
humu tu (eh)
humu tu (ah)
humu tu
kubwa babake
humu tu (eh)
humu tu (ah)
humu tu
kubwa babake
Random Song Lyrics :
- go - chris brown lyrics
- big problems - (sandy) alex g lyrics
- noche loca - rombai lyrics
- red sun - night driver lyrics
- время (time) - d.masta lyrics
- give and take - sudeep sinha ft. tavish lyrics
- remember then/pretty little angel eyes/i wonder why - showaddywaddy lyrics
- (i can't get no) satisfaction (live 2013) - the rolling stones lyrics
- dunce - walter mitty and his makeshift orchestra lyrics
- red brick paradise - orla gartland lyrics