air weusi - weusi lyrics
[intro]
[drop]
[chorus: joh makini]
aye’
watoto wanainama kuokota (aye, aye)
kama hela imedondoka (aye, aye)
si tulisimama kuzifata
kama ndege inaondoka (aye, aye)
air weusi, ‘departure (*parture)
flight time (flight time), ‘departure
air weusi, ‘departure (*parture)
flight time (flight time), ‘departure
[verse 1: g*nako]
i ain’t got a license
so i can drive you crazy
shawty namba d kitaa fulani cha mbezi
shawty like madee, kamwaga pombe yangu
kitaa fulani cha mbezi, mbezi ya chini
(woo!)
crazy lakini (uh)
akaniambia baby njoo na lighter
leo nataka tuifanye kama cypher (uh)
anapendaga threesome, nikaleta wеusi
tuka bang three times, akaja bonta
four time akaingia lordy
so issa five timе, show time
ile saa
likaamka dude
tuka come ‘ni balaa (uh)
[chorus: joh makini]
aye’
watoto wanainama kuokota (aye, aye)
kama hela imedondoka (aye, aye)
si tulisimama kuzifata
kama ndege inaondoka (aye, aye)
air weusi, ‘departure (*parture)
flight time (flight time), ‘departure
air weusi, ‘departure (*parture)
flight time (flight time), ‘departure
[verse 2: joh makini]
flight time
flight time, yeah
sina muda wa kujadili time, yeah
kwenye hela mrembo hakosi time, yeah
kina kardashian wameoniona kanye (yeezy)
wenye mimba za chuki niwakanye (who is it?)
mkanye, mkanye
mkanye supastaa asijifanye
umaarufu una mwisho hauna karne
mr. ma big chicks ‘pakia bags, ma
air weusi, ndege imejaa ma nyota
fasten your seat belt, shawty we fly high
[chorus: joh makini]
aye’
watoto wanainama kuokota (aye, aye)
kama hela imedondoka (aye, aye)
si tulisimama kuzifata
kama ndege inaondoka (aye, aye)
air weusi, ‘departure (*parture)
flight time (flight time), ‘departure
air weusi, ‘departure (*parture)
flight time (flight time), ‘departure
[verse 3: lord eyez]
as we proceed to give you what you need
ukaguzi wa kuingia kwenye hili pipa ni mkali
suspect number one, ‘snitch kaa mbali
suspect number two, ‘uchawa, okay
suspect number three, uchawi, ‘sawa, sawa
huwezi kwenda juu kama huna ramani
airforce weusi, tunaishi hewani
ukiingua kwenye hili pipa, unaenda duniani
sio kwenda mjini, unaenda duniani
aisee, ni ngumu kupanda lakini ngumu ni kutua
kila pasi in*z*ngatiwa, hakuna wa kubutua
haitishwi na mawimbi ‘hii sio mashua
vip tupo majita, na ndio washua
[chorus: joh makini]
aye’
watoto wanainama kuokota (aye, aye)
kama hela imedondoka (aye, aye)
si tulisimama kuzifata
kama ndege inaondoka (aye, aye)
air weusi, ‘departure (*parture)
flight time (flight time), ‘departure
air weusi, ‘departure (*parture)
flight time (flight time), ‘departure
yeah, okay
[verse 4: nikki wa pili]
upaspoti kwenye begi
kuna peni, kuna vyeni
kuna ten million kwenye small cases
vip niko peace, mi na pisi fulani kali
niki*pee mdomoni, n*gga no offenses
ma*doo wanarushwa kwenda juu ya mawingu
futi fulani sio mambo ya kurushwa fences
ronaldo kwenye rap ‘beat ikiwa boom bap
nikitua, unajua ‘mi nafanya messes
(ah)
latua kwenye maji, pia kwenye lami
ndege hili la bata pia la vitani
huwezi ukawasikia rapper, dummy*dummy
ikiwa kuna shari latua nyikani (hatua vitani)
uh (uh)
hili ndege liliko paa kutoka sinoni (kutoka sinoni)
madini mpaka kung’aa ni mpaka umekomaa
yatoke shimoni (yatoke shimoni)
ndege linako paa, inamaanisha kababaa sishuki motoni
oh, air weusi
Random Song Lyrics :
- my way - ant absolute lyrics
- deep deep depression - revion lyrics
- perish - simulant lyrics
- she's in it - adam sanders lyrics
- machine - vienna d'amato hall lyrics
- weight - sulgija lyrics
- wiic city - king von lyrics
- yeen know - olumide lyrics
- la última llamada - división minúscula lyrics
- ego tripp - kill the imposter lyrics