juu mi ni mkenya - westleiigh lyrics
(hook)
juu mi ni mkenya
lazima nitapanga hio line ndio nipate hio dooh
juu mi ni mkenya
lazima utanipata nimescan left eye early morning
ndio badae nikafike ivi bez
ndio badae ninajua utarelate
ndio badae u*uanze regret
ndio badae ujikute useless
(verse 1)
kwa majina mi naitwa westleiigh
wanasema mi hutoka eastleigh
nimekam kuwashow hizi vitu mnafanya manze joh zinakera aisee
kujifanya mnajua aisee
hadi joh mkanifanya nikatrend
hii track nilidu kuwashow mkuwe rada hizi streets aint nothing never free
worldcoin worldcoin worldcoin
nimerau ndio nisake hiyo doh
worldcoin worldcoin worldcoin
nimerau mnikanje hio doh
ndio badae nikashike na ka drink
ndio badae nikafeel niko free
ndio badae nikashike na ka spliff
mi ni youtman lazima nikaflexx
(hook)
juu mi ni mkenya
lazima nitapanga hio line ndio nipate hio dooh
juu mi ni mkenya
lazima utanipata nimescan left eye early morning
ndio badae nikafike ivi bez
ndio badae ninajua utarelate
ndio badae u*uanze regret
ndio badae ujikute useless
(verse 2)
i know life is so hard ,life is so tough
you ain’t never really gotta do this
i know situation bad,food prices up
you ain’t never really gotta do this
nowadays we been living like a movie
everything they’ve been scripting how we moving
ain’t n0body gotta tell you what to do but you gotta watch what you (m****n) doing

Random Song Lyrics :
- grew up around violence - lil duke lyrics
- walk away - haroula rose lyrics
- tropicool - gablé lyrics
- aruni - maquiavelia lyrics
- sorry (a letter to abdullah kurdi) - tom vanstiphout lyrics
- kaynat bakalım - uğurcan lyrics
- worse, not better - juhovah lyrics
- que reste-t-il de nos amours ? - isabelle aubret lyrics
- braincase (feat. levi the poet) - glowhouse feat. levi the poet lyrics
- be free - still waters lyrics