je refuse - wendo musaly lyrics
ce n’est pas possible
ce n’est pas possible
tu viens dans ma vie
et disparais quand tu veux
ce n’est pas possible
ce n’est pas possible
tu viens dans ma vie
et disparais quand tu veux
(je refuse)
ce n’est pas possible
ce n’est pas possible
tu viens dans ma vie
et disparais quand tu veux
(je refuse)
mi decho encasa
eu stava duer
e andar con meu amigo
ilo ukubali
kweli inaumiza mbingu, marafiki na ndugu
i give you everything, nini unaitaji
dola helfu k*mi nilikupa jua mtaji
nilifanya unachotaka kwababu nakuitaji
dharau ukaonyesha
maziwa ukanyonyesha
kwakila alie itaka
ukampa yorogang
we nimbuzi pia
kwakweli usie na pembe
kweli auna uruma
unamoyo wachuma ao unamoyo wa nyama
mapenzi nimatamu ila yanamwisho wake
nikiamua kukupenda nakupenda paka kufa
ila we noma nimekuchoka mpaka kufa
umetembea sana k*maliza mpaka taifa
nifanye tena nini ili uniamini?
ahh milionea
ce n’est pas possible
ce n’est pas possible
tu viens dans ma vie
et disparais quand tu veux
(je refuse)
ce n’est pas possible
ce n’est pas possible
tu viens dans ma vie
et disparais quand tu veux
(je refuse)
mara yakwanza nimekuona nimevutiwa na uzuri wako
mama nikamuacha mpaka nikaamia kwako
ukaniforce, kw*nguvu nichukue gari yamkopo
ulipo niacha kama mlalaoi
nililia kama mtoto
nikakaha nikawaza nikasema ihi ni ndoto
mwanamke we wawapi kwani
kwani we mchawi
ao unavuta bangi nakufanya kua hight
iweje uje kwetu unavaa nguo fupi
mbele yamama swaga, oh labda inakuaga
nikapiga balinciaga nikatoka nikaenda
kanifata nyuma nyuma ukanikuta kwa mwanangu
ukanipiga kofi, nikasema safi, sibishi nakubali wewe nipisi kali
tabia zako mbovu babe umefeli
kuda dadeki
mbona ihi khali
hainishtui ahh
ce n’est pas possible
ce n’est pas possible
tu viens dans ma vie
et disparais quand tu veux
(je refuse)
ce n’est pas possible
ce n’est pas possible
tu viens dans ma vie
et disparais quand tu veux
(je refuse)
ce n’est pas possible
ce n’est pas possible
tu viens dans ma vie
et disparais quand tu veux
ce n’est pas possible
ce n’est pas possible
tu viens dans ma vie
et disparais quand tu veux
Random Song Lyrics :
- acerca de esta mañana - jorge galemire lyrics
- until i found you - stevie hoang lyrics
- tied hands - sitting on stacy lyrics
- jeanne martin - maxime le forestier lyrics
- sweet pretty lady - ya boy mo lyrics
- la reina - oddliquor lyrics
- я твой кошмар - brnkv lyrics
- cbf (crazy brazy forever) - ym lyrics
- masquerade - earthbøund lyrics
- молодость (youth) - стас экстаз (stas exstas) lyrics