mzigo - wangechi lyrics
[intro: w*ngechi, ajay & mr right]
w*ngechi
skia, kwani ni kesho?
cheki, kwani ni kesho?
(big beatz afriq)
namba uno, namba uno
yeah yeah
m*r*r*i*g*h*t
[verse 1: w*ngechi]
allow me kwanza nijiintroduce
bad b*tch naeza kukuseduce
flow ni tamu utadhani juice
k*mbe ni ya sewer ninamisuse
nyi’ mnanisaka, mnatafta who?
mi natafta ganji niongeze b00bs
hii ni sure siwezi assume
mama driller na hii game inahitaji lube
huniwezi we rudi gym
hio si foreign si ukidim
ati w*ngechi where have you been?
mi ni malgan safi clean
watagwan, washa bhang, mashetan
watahang, tusker can, on my hand, ni ya mafan
munamess na independent girl
tunaiwacha iende calm
umenikufia kufa, niliwarn huyu buda asinipende sann—
nataka chali omanga, ananiwacha ka millicent kwa kitandd—
is that your rapper? mi ndio nilifanya abaki fan
[chorus: w*ngechi]
of course hunipati kama si payday
gish ndio unipate, grab your ticket
still demanding street cred
kama si uradi gotire
malgan safi, shika mamdihe
shika madurban, shika matire
i can’t wait hio mzigo ifike
of course hunipati kama si payday
gish ndio unipate, grab your ticket
still demanding street cred
kama si uradi gotire
malgan safi, shika mamdihe
shika madurban, shika matire
i can’t wait hio mzigo ifike
[verse 2: mr right]
how many times tumemada gta, b*boyz ni ma*mission passed
i ain’t no k!ller but don’t push me cheki huyu mn*gga anataka tu*curse
big sis vile ashawashow kukichacha ni one call na gang inaburst
oh no wamepiga ma*stainless steel hizi zetu they can’t get rust
qualified things, certified things, hizi side hatucopy mabeats
bro, nyi’ ni wakidi hizi meds ziko out of reach
under 18, kaa bench you are under 18, son
skiza, i don’t play with under 18’s
sound unaskia ni freshi, kwa track na queen w*ngechi
kwa rap mi ni chizi freshi hah, kwa ground mi mtoto wa messi, hah
hah, usilete udead, hah, usilete udead
tunak!ll ka hessy
[chorus: w*ngechi]
of course hunipati kama si payday
gish ndio unipate, grab your ticket
still demanding street cred
kama si uradi gotire
malgan safi, shika mamdihe
shika madurban, shika matire
i can’t wait hio mzigo ifike
of course hunipati kama si payday
gish ndio unipate, grab your ticket
still demanding street cred
kama si uradi gotire
malgan safi, shika mamdihe
shika madurban, shika matire
i can’t wait hio mzigo ifike
[verse 3: ajay]
two weeks ndio drop ifike
seal hio sh*t ndio ndom isiskike
aress chains wako hio drop iskike
show tunabonga from quarter ticket
allow me pagan listen
niko kwa trap sitoki inje (yo! yo!)
nina ma loud na si za finje
get your smoke kabla nizikinde
bad b anadai nikinye
confirm mali kabla uitise (confirm)
nang’am vako za ground
nalink na maplug kabla niitishe
na*na*na re*up tena ka*ka*ka*kabla ziishe
nabring hio smoke hakuna hata haja nijikishe
tuko ’58 joh na maflavor man
kicali juu ya hewa man
we request ’58 flavor man
utapewa man
tuko ’58 na maflavor man
kicali juu ya hewa man
we request ’58 flavor man
utapewa man
[chorus: w*ngechi]
of course hunipati kama si payday
gish ndio unipate, grab your ticket
still demanding street cred
kama si uradi gotire
malgan safi, shika mamdihe
shika madurban, shika matire
i can’t wait hio mzigo ifike
of course hunipati kama si payday
gish ndio unipate, grab your ticket
still demanding street cred
kama si uradi gotire
malgan safi, shika mamdihe
shika madurban, shika matire
i can’t wait hio mzigo ifike
Random Song Lyrics :
- guitar guy - mayer malik lyrics
- tu amor - almighty & nimsy lópez lyrics
- know lyricsoul - george michael lyrics
- memories - cc music lyrics
- on the run - the vintage caravan lyrics
- still scratching me up - trey songz lyrics
- creian que se acabo - yaviah lyrics
- desastre - petite amie lyrics
- so proud - admiral fox lyrics
- wallahi - lil kavkaz lyrics