kiki - wangechi lyrics
yeah (yeah)
wa*nge*chi
[verse 1]
ka unangoja niwache rap bruh zima ndom
mi ni ka wewe naweza kosa msimamo
nimemiss kuwapatia ma sing*along, na kutake pics with the girls kina chimano
usitry kunipima roho, preps tuliskive tukazimia dorm
ukona cash on your side na stash ya mangwai, ni ngumu we ukae wamekunyima doo
ka ni mabanger unaweza kunihalla bro, saii mnampenda, msisahau kanambo
beats mlijengwa, mukacome k*mumble, back to sender biz inacome na doo
ni must kuwazima this year, waulize tunarap na kuimba this year
no cap manze mi hujiskia, nimeshinda na ball nataka mimba this year
[hook]
hii ni moja overload, inafanya wakristo waache kungoja god
na huku juu niko all alone, mi hujipenda ni rahisi kunisoma jo
so if you see me acting carelessly, sio mimi it’s the weed and the lsd
(yeah) if you see me acting carelessly, i took too much of hennessy
[verse 2]
si ngumu brathe kudecide, f*ck politician anatengeneza rodi saii
hart kwa band, sina mordecai, couple of fans wanna see me all the time
girlfriends si lazima kujidai, si tuna kakitu na tunakaa simple
intelligent, i got hustle on my mind, oh yeah i’m a capricorn
make your girl go down then she back it up
uptown downtown finna mash it up
ni mayengs na madrinks piga flush
and for the record, we don’t f*ckin’ care what’s in the party cup
mumekosa confidence, mbona munafocus na past events?
labda hata nimeshika mercedes, mukinicheki munauliza ju ya accident (why?)
manze mtanikoma nyinyi, munadai kuona venye nilishonwa nini?
nishaona horror nyingi, ni watu kiasi manze walikuwa na mimi
kidogo niwache rap, nikuwe shabiki
hapana, the realest n*gga na mimi bado ni mama
hatuko bank pesa zetu ziko chama
mi na bro hatubongi but ni sawa
peng ting, naleta lawama
enda knt upeleke drama
hao ma kot upelekee umama
kama hawatii buda utahama
can i die, mi ni must niwai, nyi bado mnalipiwa keja it must be nice
bila dredi ama vela mi ni ras walai, uongo mi ni babii umenaswa bye
i know you love it, don’t you?
kaa rada album inadrop soon
wa*nge*chi
Random Song Lyrics :
- organic chances - berner & larry june lyrics
- under the burning eclipse - stormruler lyrics
- killing distance - xiu xiu lyrics
- krieger & kämpfer. - viva (deu) lyrics
- dono do bar - banda toque de mágica lyrics
- classe operaia - lucci (brokenspeakers) lyrics
- can't help it - chase the rockstar pup lyrics
- aankha ma aaune sapani - ekdev limbu lyrics
- thank you (untouchables remix) - boyz ii men lyrics
- get away (chris stokes single edit) - bobby brown lyrics