lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

romantic rivals - wangechi & scar mkadinali lyrics

Loading...

[intro: domani mkadinali]
yo
ready when you’re ready yo
big beats afriq
skrrt krr*krr*krr
ha ha ha ha
yo
big man ting

[hook: domani mkadinali & w*ngechi]
jump out na ki mbegega, choma rupu ndani ya imprezza
look fisa na nina m*pesa, mchote na ss** to impress her
feds wanaipenda na mimi naipenda, si ni ma romantic rivals

feds wanaipenda na mimi naipenda si ni ma romantic rivals

[verse 1: w*ngechi]
yeah, uh
umeskia news, si ni ma romantic rivals
ikibidi tunabuy views, manze hii must i*go viral
ni for real na unaweza prove, na zenu ni ma plastic maimbo
one woman mi sinanga crew, kwa skirt nimesunda automatic riffle
i’ve been taking my time with this one, you’ve been talking and i’ve been listening
you’ve been shopping and i’ve been flexing, you’ve been plotting on me men “riswa”
tuliza mastress na mambichwa, kuzoza ni must imeandikwa
usibonge unaweza lishwa, scar de cheki uh huh ngarisha

[verse 2: scar mkadinali]
same clothes but different moves, same hoes in different crews
i can smile and beef with you, man i throw a gang sign when i see my goons
i just call a buffoon a buffoon, they hope said that i pulled up too soon
wanajua tukikuja ni ma thu*thu, tunaingiza zogo hata ngori haituhusu
yo, as long as i gave my dough, i really don’t care if we get along
hashtag easy no pressure mob, hashtag freed your oppression
yo, i didn’t forgive him it’s just that me i forget a lot
f*ck si siri, you f*ck with me, you might get shot
boom

[hook: domani mkadinali & w*ngechi]
jump out na ki mbegega, choma rupu ndani ya imprezza
look fisa na nina m*pesa, mchote na ss** to impress her
feds wanaipenda na mimi naipenda, si ni ma romantic rivals
feds wanaipenda na mimi naipenda, si ni ma romantic rivals
jump out na ki mbegega, choma rupu ndani ya imprezza
look fisa na nina m*pesa, mchote na ss** to impress her
feds wanaipenda na mimi naipenda, si ni ma romantic rivals
feds wanaipenda na mimi naipenda, si ni ma romantic rivals
[verse 3: domani mkadinali]
yo, yo, yo
sleeping pill, sipping slimming tea, ukiguza slim nitatii
deep hizi streets, mi niko mamristi, nguna hio slit she’s dressed on fleek
i’m looking like i’m simping, i’m loo* i’m looking like a sinking ship
li*li*li lirry, i’m looking sleek
mum alipata chini ya pillow kipistol na siko detroit pistons
ulijuaje kudinya ivo? on other people’s daughters
dosh man woozu, new harry potter, mnabonga hallo, hapo hapo

[verse 4: sewersydaa mkadinali]
ma diva madivai haogopi kupiga, ka si bimmer hio ndai sitashika
months on the liqour, niko mamzinga, plus naririma sioni nikifika
bega kwa bega ndio tumedrop kuwafinyia kindeng’a (pa pa pa pa)
ikilia huku utahepa, tunaidraw kuthigitha mambleina
eeh ni sisi, scavenging kwa ma esto zenu
manze jo na ikibidi, ka sina form utanipata kwenu
yo, high kuliko uap tower, siku hizi naitw*nga mr. mawada
mi hurubingi paka na power, blunder nitaka shara namwaga

[hook: domani mkadinali & w*ngechi]
jump out na ki mbegega, choma rupu ndani ya imprezza
look fisa na nina m*pesa, mchote na ss** to impress her
feds wanaipenda na mimi naipenda, si ni ma romantic rivals
feds wanaipenda na mimi naipenda, si ni ma romantic rivals
jump out na ki mbegega, choma rupu ndani ya imprezza
look fisa na nina m*pesa, mchote na ss** to impress her
feds wanaipenda na mimi naipenda, si ni ma romantic rivals
feds wanaipenda na mimi naipenda, si ni ma romantic rivals
jump out na ki mbegega, choma rupu ndani ya imprezza
look fisa na nina m*pesa, mchote na ss** to impress her
feds wanaipenda na mimi naipenda, si ni ma romantic rivals
feds wanaipenda na mimi naipenda, si ni ma romantic rivals
jump out na ki mbegega, choma rupu ndani ya imprezza
look fisa na nina m*pesa, mchote na ss** to impress her
feds wanaipenda na mimi naipenda, si ni ma romantic rivals
feds wanaipenda na mimi naipenda, si ni ma romantic rivals

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...