lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

hush - wangechi & scar mkadinali lyrics

Loading...

[intro: w*ngechi & scar mkadinali]
hush hush, for real
puff puff, for real
si unajua wa china men
yeah, for real

[chorus: w*ngechi & scar mkadinali]
hush hush punguza hizo maneno (uh)
puff puff pitisha hiko kingwelo
uh, dash dash njege asikupige tero
mash mash tunawaharibu na ki demo
hush hush punguza hizo maneno (mmh)
puff puff pitisha hiko kingwelo
ati, dash dash njege asikupige tero (mmh)
mash mash tunawaharibu na ki demo
[verse 1: w*ngechi]
aha, tunawaharibu na ki demo
aha, na*run jiji na kidero
yeah, na*burn zigi na kingwelo
nina chali ye’ huw*nga pinji na ni felon
shame on, you n*ggas b*tchin’
and if i stay home, i be in the kitchen
kwani ni kesho? bonga mavi tukufiche
i’m the queen unanijua mi ndo kike
ni hasara sikufichi sikuchochi
niko biashara pesa ya mziki haitoshi
nakupa rada we’ buda kujia coachin’
naenda zanzibara narudi na mi siposti

[chorus: w*ngechi & scar mkadinali]
hush hush punguza hizo maneno
puff puff pitisha hiko kingwelo
uh, dash dash njege asikupige tеro
mash mash tunawaharibu na ki demo
hush hush punguza hizo maneno (mmh, for real)
puff puff pitisha hiko kingwеlo
ati, dash dash njege asikupige tero
ati, mash mash tunawaharibu na ki demo
skiza

[verse 2: scar mkadinali]
ati, mash mash tunawaingiza na demo
bars bars zinakimbia kwa remo
pa pa usiposikia ni mengo
trust us, utapigia mapero
kingwelo na zigi ni must*have
lemon baridi ndani ya tusker
bendo imezidi warasta, warembo, mabibi, ma*sister hahaha
na tuko serious bro
yo, you don’t wanna see us all
uh, kwanza saii vile sina form
tuna*pull up na n*gga here to sing my song
[chorus: w*ngechi & scar mkadinali]
hush hush, punguza hizo maneno
puff puff pitisha hiko kingwelo
uh, dash dash njege asikupige tero
mash mash tunawaharibu na ki demo
hush hush punguza hizo maneno (mmh)
puff puff pitisha hiko kingwelo
ati, dash dash njege asikupige tero
mash mash tunawaharibu na ki demo

[outro: w*ngechi & scar mkadinali]
hush hush, punguza hizo maneno (yeah)
puff puff pitisha hiko kingwelo (yeah)
dash dash njege asikupige tero
mash mash tunawaharibu na ki demo
hush hush, punguza hizo maneno (for real)
puff puff pitisha hiko kingwelo (uh)
ati, dash dash njege asikupige tero
mash mash tunawaharibu na ki demo

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...