kula tatu - wanavokali lyrics
ni wakati
wa kuachilia mambo ya kazi
mimi huyo nishaitisha taxi
kuna kitu kwenye hewa tonight (night)
haya basi
tunaenda wapi party kwa nani
kuna drinks ama nipite maskani
katashika katanuka tonight (night)
location iko set
mzinga ziko check
madame na maboy wamekuja kuflex
dj ako fresh
mapeddy wanasell
kadi tumeshuffle na ni time ya kuplay
kula, kula tatu
kula, kula tatu
tukicheza game ya poker (kula tatu)
ukilishwa tatu juu ya joker
kula macookie na makeki
tumaji usibleki
kabusu na kahug tu
baby kula tatu (kula tatu)
kula, kula tatu
kula, kula tatu
kula, kula tatu
kula
game imefika wapi?
nani anacheza, nani anaweka kadi? wah!
it’s shikaing my guy
it’s shikaing my guy
after hii round sitajiweza walahi
but the, night is young
bado form inadai
and the, vibe is right alright (alright!)
meanwhile, mziki imeshika
na watu wanawika
ngoma za wanavokali
location iko set
mzinga ziko check
madame na maboy wamekuja kuflex
dj ako fresh
mapeddy wanasеll
kadi tumeshuffle na ni time ya ku play
kula tatu, kula
kula tatu, kula
ukichеza game ya poker (kula tatu)
ukilishwa tatu juu ya joker
kula macookie na makeki (kula tatu)
tumaji usibleki (pewa tatu)
kabusu na kahug tu (mara tatu)
baby kula tatu (kula tatu)
kula, kula tatu
kula, kula tatu
kula, kula tatu
kula, kula tatu
eat three, wau!
wanavokali kali kali sana
watakubali wanavokali
watakubali wanavokali
watakubali wanavokali
watakubali
Random Song Lyrics :
- on the low - yae yadir lyrics
- coração fora do corpo - jorge palma lyrics
- iron camel - sirio lyrics
- bite me - fuck bitch lyrics
- отстой (sediment) - buyster lyrics
- i can do anything - liam guinane lyrics
- 月華❁乱れ牡丹 - eve (jpn) lyrics
- big red sun blues - phosphorescent lyrics
- aijo! (directo) - porretas lyrics
- road to california - skip ewing lyrics