usini udhii - wakadinali lyrics
check check check, wah wah wah
unanikasirisha, unanii unanikasirisha unaniudhi
unanikasirisha, unaniudhi udhii udhii udhii
unanikasirisha, unanii unanikasirisha unaniudhi
unanikasirisha, unaniudhi udhii udhii udhii
dawn huskii ntadish sm sigi please
sababu tu kama ni rap nadab naleta mwita hater rezi mjinga
nina line ya, form frequent liquor fame frequencies
design kwa tv nilikuowe more, advert ka soap
aerial haiezi nipima, nina sixteen zina content kushinda radio mwizi mzima
po*porojo zimetushinda ahh ooh
pingo mjinga kifa maybe masling ndio aliiba
from boot ya chain, either goro remember the reason n*ggas
don’t forget kwa maskio, ni makofi tu ndio naskiza
mahater washajihumble bila kuwashow vua hizo kofia
so unafaa kuface your fear, hata ikutaki ile skio skia
ju kwake si mzii kofia, basi mlevi ni mzito pia
we safisha rada kwa finyo tukitapinadi ndani ya c*ckpit
petit ndio zile vako crazy vеnye vitu tamu huw*nga toxis
kiugambler na mastingo, cards caries timе ya chocolate
as if ni bagla casino, sd ka hatucompete
fb ka ni c*ckpit
unanikasirisha, unanii unanikasirisha unaniudhi
unanikasirisha, unaniudhi udhii udhii udhii
unanikasirisha, unanii unanikasirisha unaniudhi
unanikasirisha, unaniudhi udhii udhii udhii
hawa magone hawakai kurada map
rasta man, mi sjawai lamba nyap
mixtape done na ka unadai guap eng’at
base madrama ngwai na marabadat
mi huw*nga nut case yangu walishindwa kusolve
mihadarat plus damu si isha dissolve
murderous wa maverse plus mi huw*nga hazardous
haza nerves, laza bars mbaka watajaza gas
aah so nakujali nakufeel, hapa utapigwa upanga si ukinjaribu kuk!ll mmh
na wanasema ati zangu ni bangi, sio goat head na
itabidi wamekubali matukio
i had they be trying to be tough, man i ain’t trippin’ but nai ni kujitrust
i come from a hood where n0body talks
and if they talk, then they be lying to the cops
unanikasirisha, unanii unanikasirisha unaniudhi
unanikasirisha, unaniudhi udhii udhii udhii
unanikasirisha, unanii unanikasirisha unaniudhi
unanikasirisha, unaniudhi udhii udhii udhii
walihepa kikundi wakicome two two
flate through to buru, vipi nyakundi pata clue
kaa ina budi mwaga blue, narepresent right 42, kenya juu
mi hugonga inalala naiwacha loose
nabondea mahakama, usiniuz malawyer mahaka
na waschana wantaka nudes
si nilikuambia, usiingize kichwa ushindwe
kutoka, heri uingie na mguu uumwe na nyoka
broker, wa kila kitu hata maflow za mafront
ya tuko job k!llers na sword ya aliyapoz ni ya goals clear
si ni tufike top gear, na dosh na dope skia
si kanjo ako na wh0res pia, after doze doa alidozia
unadeal na pros here na mapants za bondia
flow ni za gold, silver, bronze pure
mi hukua zone dinner after kuchoma store nzima
Random Song Lyrics :
- fuera de contexto - finde lyrics
- time the master - walter egan lyrics
- it's goin' down - feat. nitti explicit - yung joc lyrics
- deep blue city - john givez lyrics
- rockestar - sticky m.a. lyrics
- fuck you - slightly stoopid lyrics
- charlie clips vs yung ill - urltv lyrics
- feels so good - radio edit - armin van buuren lyrics
- limbo with lyrics - brentalfloss lyrics
- falila ketan - olamide lyrics