staki rafiki - wakadinali lyrics
yes sire, yes sire ban vampire
na stonta nakupa sensaya ukisha rispaya
na mashuksha ni mapapaya
wananidedi matalaya
anza anza, na mashuksha ni mapapaya
woo woo, staki rafiki life ikiwa fiti
ageuke nafiki kwanini life ikiwa tricky
staki rafiki, life ikiwa fiti
alafu ageuke nafiki life ikiwa tricky
staki rafiki kwa wingi life ikiwa fiti
ageuke nafiki kwanini life ikiwa tricky
staki rafiki kwa wingi life ikiwa fiti
alafu ageuke nafiki life ikiwa tricky
staki rafiki, life ikiwa fiti
ageuke nafiki kwanini life ikiwa tricky
staki rafiki, life ikiwa fiti
alafu ageuke nafiki life ikiwa tricky
staki rafiki kwa wingi life ikiwa fiti
ageuke nafiki kwanini life ikiwa tricky
staki rafiki kwa wingi life ikiwa fiti
alafu ageuke nafiki life ikiwa tricky
nduru is thegi round imekaa ni ka si umwaga petrol
zinaskika kila connotation, crowd imecome
ni ka show ni ya m*st*rbation
walidhani no illusion mind wakaimeasure
domani munga ukim immitate ukuwe kama ye utaoa kardashian
nacheki venye picasso unasaficial
we si beshte maybe adui, i guess suicide vest, cheza it digest pudding i taste
incase uget hii message then itakua suit at best
mi naichange breathe na effect k!ll like pest
around you misscc portfolio
hii si b.c.g na polio
mi sikuita morio usini backbite, mi so chips
mi si biscuits as oreo
mtu hujipima loo ndio ameze pole mchuzi si napoleone
staki rafiki life ikiwa fiti
ageuke nafiki kwanini life ikiwa tricky
staki rafiki, life ikiwa fiti
alafu ageuke nafiki life ikiwa tricky
staki rafiki kwa wingi life ikiwa fiti
ageuke nafiki kwanini life ikiwa tricky
staki rafiki kwa wingi life ikiwa fiti
alafu ageuke nafiki life ikiwa tricky
staki rafiki, life ikiwa fiti
ageuke nafiki kwanini life ikiwa tricky
staki rafiki, life ikiwa fiti
alafu ageuke nafiki life ikiwa tricky
staki rafiki kwa wingi life ikiwa fiti
ageuke nafiki kwanini life ikiwa tricky
staki rafiki kwa wingi life ikiwa fiti
alafu ageuke nafiki life ikiwa tricky
wapi rafiki? nilipohema
wapi mabinti? nilipokuw*nga pepe
walinihepa walinitoka
kama mangepa mahali ya hawker
mi nilichange niliomoka
wako na benz niko na chopper
niko na hopes za, kubadili family mpaka nitakapo kufa
miguu za cobbler, haziezi kudungia viatu vilivyo pasuka
w*ngapi wamekuja na pupa
eti wakubwa na bado ni pupa
na hatukuzibanga ufa, sasa tunapitanga na ukuta
woo woo staki rafiki life ikiwa fiti
ageuke nafiki kwanini life ikiwa tricky
staki rafiki, life ikiwa fiti
alafu ageuke nafiki life ikiwa tricky
staki rafiki kwa wingi life ikiwa fiti
ageuke nafiki kwanini life ikiwa tricky
staki rafiki kwa wingi life ikiwa fiti
alafu ageuke nafiki life ikiwa tricky
staki rafiki, life ikiwa fiti
ageuke nafiki kwanini life ikiwa tricky
staki rafiki, life ikiwa fiti
alafu ageuke nafiki life ikiwa tricky
staki rafiki kwa wingi life ikiwa fiti
ageuke nafiki kwanini life ikiwa tricky
staki rafiki kwa wingi life ikiwa fiti
alafu ageuke nafiki life ikiwa tricky
sewersydaa pin do case tena
rumours nyingi funga antenna
ati siku hizi mi ni bartender
crazy sixties mpaka mwalewa
action design ya banderas
style ya designer inakera
254 juu kama bendera
wengi wetu tuliprove kuwa better
niko na, battery low ndazima
staki co za wiwa
lyrically bill us
crack hi joke he*he*ha
wanataka my be us
siwachi bro ju sipati
coz am working more na sipati doh
staki rafiki life ikiwa fiti
ageuke nafiki kwanini life ikiwa tricky
staki rafiki, life ikiwa fiti
alafu ageuke nafiki life ikiwa tricky
staki rafiki kwa wingi life ikiwa fiti
ageuke nafiki kwanini life ikiwa tricky
staki rafiki kwa wingi life ikiwa fiti
alafu ageuke nafiki life ikiwa tricky
staki rafiki
Random Song Lyrics :
- sappy song 2 - chanelfather lyrics
- adaptive strike (old) - shadowraze lyrics
- i'd rather die - as it is lyrics
- bloody mary - folky lyrics
- trep bog trep folk - polo čare lyrics
- making sounds aside - elveektor lyrics
- love is there - amadeus chaffe lyrics
- liquid temple - red temple spirits lyrics
- no lastimes más - laura canales lyrics
- come - hessel lyrics