lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

g pin - wakadinali lyrics

Loading...

niko na wasee wamejipin vitu refu
kutoka hip mpaka knee
galdem ako stiff anadai kasee
tu aitingishe itii
hapo kwa garden nasuka eve
k*mbe anapenda sauti ya hiss
si tuchill
behind hio curtain si venye inaseem to be

niko na wasee wamejipin vitu refu
kutoka hip mpaka knee
galdem ako stiff anadai kasee
tu aitingishe itii
hapo kwa garden nasuka eve
k*mbe anapenda sauti ya hiss
si tuchill
behind hio curtain si venye inaseem to be

ulifinywa ukasnitch n*gga si tulidhani we ni g
midday tuskii pale waitii nimekuwa nikigather streams
si tunamwagika nyi mnadrip, mkitrip tunawaacha mclean
around saa tisa na zimelipuka suicider ako eastleigh

msicut trees kama hauplan kuplant sh*t
excuse me miss my name is slim na napenda hio slit
najua ni 6 lakini siwezi mind kuingia nawe hizo streets
still tuingie d tugotee wazing tupewe g na jing
usilete feelings bruh si hudeal tu na logic
nina b*tch ye hupiga mbraa so ideal for robbing
utapiniwa kwa hio wall ukimblein short ka sony
nairobi tunadrill na f*ck hao watu hawaoni

rong g tunafyatuaa tukifuatwa na magagula
monski drip instead ukimpata mshow namtafta
naroll viheavy niliuza mazda sai ni tractor
niliuza glock nikawashikia short gun

niko na wasee wamejipin vitu refu
kutoka hip mpaka knee
galdem ako stiff anadai kasee
tu aitingishe itii
hapo kwa garden nasuka eve
k*mbe anapenda sauti ya hiss
si tuchill
behind hio curtain si venye inaseem to be

niko na wasee wamejipin vitu refu
kutoka hip mpaka knee
galdem ako stiff anadai kasee
tu aitingishe itii
hapo kwa garden nasuka eve
k*mbe anapenda sauti ya hiss
si tuchill
behind hio curtain si venye inaseem to be
w*ngapi wako on, hio ni urongo
na siwezi perform yoh watoe jongo
front ya malboro bro na k*mbe nauzanga koro
mpatie mkono incase mnono adandie stokomkoro ako worried naskia hadai upatane na saigon
bygon si bygon kwanza ka ulic*ck ia kanairo
una mabeshte w*ngapi wako worth kudie for
nishai pigwa wembe nikadrop kila kitu kiamaiko

mpee flying horse ukidai k*mrusha
sai ni 4 bado mbao tuanze kuvuva (4 na kambao)
tuko singapore vile macho tumeshusha
si hung’ara mtumba swali ni mojajiulize mbona nawakunywa

niko na wasee wamejipin vitu refu
kutoka hip mpaka knee
galdem ako stiff anadai kasee
tu aitingishe itii
hapo kwa garden nasuka eve
k*mbe anapenda sauti ya hiss
si tuchill
behind hio curtain si venye inaseem to be

niko na wasee wamejipin vitu refu
kutoka hip mpaka knee
galdem ako stiff anadai kasee
tu aitingishe itii
hapo kwa garden nasuka eve
k*mbe anapenda sauti ya hiss
si tuchill
behind hio curtain si venye inaseem to be

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...