bachelor degree - wakadinali lyrics
[intro]
yo, for real for real for real
for real
[verse 1]
yo, simaanishi vela nikisema nilikuwa nikichoma shule
kubali we ni beggar ndio nikupe soo ya bure (pshh)
lets move it, mtatuonea kule
hatuoni haya kwanza nikipull up na sulee
b*tch full dem naongeza chumvi kwa story ndio watu wakule
hii ni for real na imeletwa na yours truly
hii ni feeling ya stude akichelewa too late, you can’t figure me out
siwezi f*ck a broke b*tch akaji*finger me out (me out)
kila stroke ya hii fimbo ni thao
na usiamini government hio freedom ni yao
wakule nyama men mimi indomie how
child support ni so expensive, i told my baby mama that kid is my investmеnt
na kila time nikichomanga sensi, nakuja realisе yesu mi angai bless me
yo, i’m a hustler my g, si ndio wale magw*ngi wako na bachelor degrees
mama alikukataza wachana na riz
we umepagawa motherf*cker unanimiss
kama kawa tunapanda zikiwaka ndani ya lift
kiko na mabong hapa hakunanga riz
wakidi na wasupa wananiitanga daddy na ukileteanga pang’ang’a tunakutukananga biatch
[hook]
nikiwa tire itanuka, mahali nimefika mi mwenyewe najishtuka
madenge wananisuka, alidai kunionyeshe nikamshow afunge duka
baby nilikukuta na matuta, ukaroll na maboss saii nacheki uko na future
mi napush kwa mapusher, stash ya kush na supply imeshuka
[verse 2]
yo, i miss [?], man you was viable
i was so pained i never came to your burial
me, you virusi na lucy, real n*gga sh*t that’s what you remind me of
i told the streets f*ckin adios, i told my n*gga you don’t need to hate just allow me, bro
i took a risk even my mummy knows we ni family ka unak*mbuka scar the rhyme you know
washa kinduku ndio nipotee ndani ya k*mbuk*mbu za kitambo aki woishe
sikudunga socks ndio manjumu zinitoshee, na kulia lia iliw*nga ngumu labda tokens
kahawa tungu ku*clear tonsils, old school kama managu matoke
karai viazi teremsha na mn*z* mwaga chini kiasi ndio mababu wapokee
you know me i’m in the field man, i can’t sleep masnitch walinikinda
being real is a stigma, you cant suck my d*ck you need to leave ma
waambie tuko in and out, kwa mastenje tumeshinda tuko in and out
siku hizi ni [?] tuko in and out, si ndio, si ndio mabwana za mabibi zao
uh, you gotta pay just to see me now
i don’t want no free stuff, uh uh, free me now
you a snitch you a rat we ni mickey mouse
my father saved me when he said i need to leave his house
[hook]
nikiwa tire itanuka, mahali nimefika mi mwenyewe najishtuka
madenge wananisuka, alidai kunionyeshe nikamshow afunge duka
baby nilikukuta na matuta, ukaroll na maboss saii nacheki uko na future
mi napush kwa mapusher, stash ya kush na supply imeshuka
Random Song Lyrics :
- blame - zola courtney lyrics
- no soy yo - mila lyrics
- let you go - jayla darden lyrics
- nigga man - gabido lyrics
- oohoo - zg rhymes lyrics
- silenced by hums - camila fuchs lyrics
- infamous - inmi lyrics
- adder - patrick wolf lyrics
- puppet (unplugged) - chiiara lyrics
- crawlspace - petunia-liebling macpumpkin lyrics