lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

hadi lini - wahu lyrics

Loading...

oohhhh ohhh
upendo wako umenijaa mi
mpaka wengine siwaoni
baby you drive me crazy
umeniziba zangu mboni
nimekuzoea na kila time nataka niwe nawe
girl you’re my other half
you make me complete i always say
you’re my fantasy the way you wear you’re makeup is cute i see
una urembo wa tausi mwendo taratibu yaani bila kasi
you’re my fantasy,the way you wear you’re makeup is cute i see
una urembo wa tausi mwendo taratibu yaani bila kasi
youre the one i wanna marry
uwe mpenzi wa halali
baby youre my nurulain na nafurahi upo nami
ahe ah ahe ahе
you’re the one i wanna marry
uwе mpenzi wa halali
baby you’re my nurulain na nafurahi upo nami
ahe ah ahe ahe
i wanna marry you
mwenehu dede usiniriche mi
nizakuzwera ndzo ukale nami
tulipotoka ni mbali basi penzi tulifadhili
moyo w*ngu umehifadhi hisia zako baby
and i will never make you cry laika mi ni wako baby
you’re my fantasy the way you wear you’re makeup is cute i see
una urembo wa tausi mwendo taratibu yaani bila kasi
you’re my fantasy the way you wear youre makeup is cute i see
una urembo wa tausi mwendo taratibu yaani bila kasi
youre the one i wanna marry
uwe mpenzi wa halali
baby youre my nurulain na nafurahi upo nami
youre the one i wanna marry
uwe mpenzi wa halali
baby youre my nurulain na nafurahi upo nami
ahe ah ahe ahe
kwako sioni scandal
baby nipe upendo
usinitupe kando
beiby eehh ehhh
you’re the one i wanna marry
uwe mpenzi wa halali
baby you’re my nurulain na nafurahi upo nami
you’re the one i wanna marry
uwe mpenzi wa halali
baby youre my nurulain na nafurahi upo nami
ahe ah aheahe

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...