dingi - wachuja nafaka lyrics
(instrumental)
[chorus:]
dingi ume chemusha (musha)
kwa k*mu nyanyasa maza…
dingi ume chemusha (musha)
hata watoto wako sisi tuliku kukataza…(kataza)
dingi ume chemusha (musha)
kwa k*mu nyanyasa mother…
dingi ume chemusha (musha)
ukirudi nyumbani umelewa chapa chapa…(chapa)
[verse 1:]
hii inaanza moja’ kwa k*malizia ungwe
mbona hutulii? utafikiri umeng’atwa na ng’e
na kwanini lakini’ uamue kulala nje?
kama mke unae’ haya je hao wa nje?
we dingi we’, we, dingi’, dingi
muone huruma mama
kwa maana nnayokueleza mimi’ yananiuma sana
naeleza mapema bado jua halijazama
isije ikatokea siku’ ukaja ukatuf*kuza kinyama
na hasa sisi watoto zako’ ambao tumegundua njama
utatuweka njia panda’ hatujui wapi kwa kuanzia
ukirudi we kwenye ulevi we unampiga maza
asa sisi tutafanya nini? tunabaki tuna mtazama
hadada! da*da*da…
makofi,makofi…vyombo
kwan*kwan*la!..
fanya starehe lakini k*mbuka familia
ulimpiga maza mpaka bibi akaingilia
kama pombe uziwеzi’ si bora uwachee…
[chorus:]
dingi ume chemusha (musha)
kwa k*mu nyanyasa maza…
dingi ume chеmusha (musha)
hata watoto wako sisi tuliku kukataza…(kataza)
dingi ume chemusha (musha)
kwa k*mu nyanyasa mother…
dingi ume chemusha (musha)
ukirudi nyumbani umelewa chapa chapa…(chapa)
[verse 2:]
matusi, aibu’ mtaani tunapata
alau lala kwata’ mambo unayofanya dingi’ utasema umedata
yaani machangu unawaokota’ maza stori anapata
eti unaacha mia mbili ukirudi unataka nyama
uambiliki’ ushikiki “ku*ru*pu” unamvamia mama
kwanza makofi, vibao’ ndo mtindo wako
(?) kila siku ndo desturi yako
kashfa, matusi’ dingi yaani ndo kwa sana
hata hatujakaa vizuri’ nyie baba enu anapigana
dingi bwana! mara zipu hajafunga, mara kapiga teke ugali, mara katoa vichwa vya kuku kwenye suruali
yaani nyumba haieleweki’ kila akirudi yuko deki
mambo anayofanya dingi yote feki
akirudi vioja’ kelele mtindo mmoja
nyumbani kama bar
sometimes si tunashinda njaa
yeye akirudi uko kasha upakaa, eti tunafurahi asubuhi na mchana ikifika jioni’ tunashika tama
dingi miyeyusho’ vituko
yaani wakati mwingine tunashindwa hata kuelewa sijui ananukia pombe gani
mn*z* si mn*z*’ tindi si tindi’ labda shada?
haya sasa’ katikati ya watu dingi anavua nguo
matusi yanayomtoka hapo’ hayana hata kituo
[chorus:]
dingi ume chemusha (musha)
kwa k*mu nyanyasa maza…
dingi ume chemusha (musha)
hata watoto wako sisi tuliku kukataza…(kataza)
dingi ume chemusha (musha)
kwa k*mu nyanyasa mother…
dingi ume chemusha (musha)
ukirudi nyumbani umelewa chapa chapa…(chapa)
dingi ume chemusha (musha)
kwa k*mu nyanyasa maza…
dingi ume chemusha (musha)
hata watoto wako sisi tuliku kukataza…(kataza)
dingi ume chemusha (musha)
kwa k*mu nyanyasa mother…
dingi ume chemusha (musha)
ukirudi nyumbani umelewa chapa chapa…(chapa)
[instrumental]
Random Song Lyrics :
- why? (ctrler remix) - more machine than man lyrics
- rala a checa no chão - trio da huana lyrics
- n9osha - la bita flouw lyrics
- lentoon - brädi lyrics
- wasup - dieroma lyrics
- lap dance & drop it milli tunes verses - milli tune lyrics
- dermitder - farin urlaub lyrics
- h e a r t - willow lyrics
- na na na na - ambkor lyrics
- exercice - les trois accords lyrics