demu wa mchongo - waasara lyrics
bey mc jeshi waaasara
you can call me bey mc
oya wee k*mbe demu wa mchongo
komaa usinieletee maringoo
oya wee k*mbe demu wa mchongo
komaa usinieletee maringoo
oh jamani we dada unatamba
makeup zinakuongopea
we na tena ukipita unavimba
na filter zinakuongopea
na kwanza stop sitaki unijue
kuanzia leo dada naomba unitue
tena na kwanza stop!’
nyumbani usikanyage mwanamke gani unakoroma kama zeze
tena funga virago nenda
ma baby maana nimeshakuchokaaa
kwanza makeup imedunda we mtu wa kujisnap
unapenda kuvimba k*mbe we demu mchafuu
na unapenda makuu na mwili mzima umejichora tattoo
atakuwoa nanii na we dada atakuwoa nanii
nilikuona pisi kali k*mbe demu wa mchongo
tеna naomba unikalie mbali usiniletee maringoo
mi nilikuona pisi kali k*mbe wе demu wa mchongo
tena naomba unikalie mbali usinieletee maringoo
ohhhoo aiii weeee dada wewe mamama weweeeeeee
dada weweeeeeee
nasema ze end mapenzi ya mekwisha
naomba futa namba acha kujibebisha
yaani nasema the end mapenzi ya mekwisha
namaanisha sikupendi acha kujibebisha
dada kivaa kijor kama shehe amevaa kanzu
sura abdalah kwanza toka mbele yangu
eti nikuonge chips wakati sura hauna
bora ungekuwa na chuura kama mwenzanko fatuma
eti nikuonge gari wakati nzuri hauna
bora ungekuwa na sura kama mwenzako mwajuma
unajichubuaa dadaaa rangi tu unaijua dada
eti unatuvimbia dada k*mbe unajikojolea wewee
mi nilikuona pisi kali k*mbe we demu wa mchongo
tena naomba unikalie mbali usinieletee maringoo
mi nilikuona pisi kali k*mbe we demu wa mchongo
tena naomba unikalie mbali usinieletee maringoo
kutwa kiguu na njia wala hutulii nyumbani
mpaka watoto wanakupanda mgongoni
kutwa kiguu na njia wala hutulii nyumbani
mpaka watoto wanakupanda mgongoni
basi haya wee mamaa weee
mi nasema haya wee we dada weee
aah we meneger baba melinda ,aaa mwanangu wa faida
dj seven ansi venoom
Random Song Lyrics :
- melo freestyle prod. flexboy - lil sikey lyrics
- intro (alles auf rot) - capo lyrics
- más que suerte - larry hernndez lyrics
- vivre à en mourir - a2h lyrics
- eyes - girls' generation-tts lyrics
- diamond - bella thorne lyrics
- sota els meus peus - ter¿pia de shock lyrics
- bounce - bmc musick lyrics
- maga dog - 2002 remastered version - peter tosh lyrics
- got it - coach lyrics