lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

head bad - vkg paris lyrics

Loading...

[intro]
kila msee anadai kuwa g, but g anadai kuwa me
kila msee ana– (gunshot)
big tyler

[chorus]
me*me ni head bad look at that, shawty ni mbaby msoro ni mdeadly
vuta ngwai usilete sports, hatupendi fegi [?]
bad boys chill them thegi’s, f*ck around get babies
whose that man mrazi, hangman mzigi, bad man, yay

[verse 1]
mi nabonga na muru na zangu zimeshika, lakini niko rada k*mshinda
nawarock kushinda adi asap ’cause si tuko rada ’cause siezi ng’ethia
ukisha shukisha body mi ni penga, mi nataka doh, so ntatoka mapema
sina ndai mi ntapiga kalesa, we ulishatolew*nga game kula red card
akili yangu inagonga madem month differеnt, yangu inagonga tu pesa
nakuchonga mistari monday to monday, mpaka ile day ntaskizwa
rapper wako ana boils kwa rasa, so hakuna vеnye atanikalia kwa hii game
ndoto ni kushika adi interior, mi hutoka vasho, kanairo hadi game
niko serious ka gun ya hessy
msupa ana ass, na thong ni ya fendi
hio sneaker inafanyanga target
mechi lazima ata kama sina matress
niliwapea map, bado mko trapped
mi nimekuwarn, niko strapped
huyo msupa alikuchocha asimile lakini kwa mdomo amejazwa s*m*n
i’m rare kama thot ana kutu
mi ndo morio anaeza lea mwewe na kuku
tunadunga adi kwa object the [?], don’t believe in love, so ni ngumu niko kuku
siamini mdem adi anipe munju tangu nijue yesu aliguziwa na busu
cobbler ndo inaflow kwa vein yangu
so only snow*white anaeza kuwa manzi yangu
[bridge]
kila msee anadai kuwa g (kuwa g)
but g anadai kuwa me (kuwa me)
kila msee anadai huyo b*tch but b*tch anadai mzigi
huyo rapper alisema ni g.o.a.t
chrisi’ ilifika for sure tulimroast
huyo rapper alisema ni g.o.a.t
chrisi’ ilifika for sure tulimroast

[verse 2]
hatuwezi beef na wewe my g, infact i’m your dad na wewe ni my daughter
naishi east, easy my g mi ni kanye huku west mi ni “donda”
mi ni playerfull man naomba lakini kwa show huyo fan namroga
ka ni kadi si huchezanga poker
download bible, achana na p*rnhub
so rada ya opps hakuna janjez anaeza ni corn
nime murder ma rapper kadha iza joh, sorry for your loss
bado blunt mna blow more, ka ni athletics na run the show
na talk less sina riba mob lakini vitendo nimezijaza foshoo
ka ni hater si mind ju we ni inbox tu pin location ka ni drizzy kwa in “knife talk”
ni ki cross major wetu ni beef, mmh
huku bygone si bygone
ka ni dealing n*z*piga vi clean
nazo verse nimezijaza ka bible
hizi masides hatutaki ma reef, ka mbaya utaponwa nani
tuna rep vkg, vijana wamesare ngori huko east
kutoka a22 mi ni g, g8o8o mi ni ao
[chorus]
me*me ni head bad look at that, shawty ni mbaby msoro ni mdeadly
vuta ngwai usilete sports, hatupendi fegi [?]
bad boys chill them thegi’s, f*ck around get babies
whose that man mrazi, hangman mzigi, bad man, yay
me*me ni head bad look at that, shawty ni mbaby msoro ni mdeadly
vuta ngwai usilete sports, hatupendi fegi [?]
bad boys chill them thegi’s, f*ck around get babies
whose that man mrazi, hangman mzigi, bad man, yay

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...