lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

sugar cane - viva conscious lyrics

Loading...

intro…
yeh viva conscious ….yeah the one man and only
and this one i dedicate to you ..a lovely song for you
yeah this is how we do … this is for you baby yeah
verse 1 viva conscious
kwingine siendi we ni zaidi ya dira
kw-ngu una mashabiki wengi zaidi ya mchezo wa mpira
aaah baby please we ni pumzi yangu
naposonga ,maneno yako,nguvu tosha kw-ngu

kwanza wazee wanahitaji kunijua
twende nyumbani tufunge ndoa ujana unasumbua
mapito yaache yanakuja nakuondoka
nuru iwakayo kote,kukupenda siwezi choka

unapenda nini nikupe furaha maishani
mavazi ,imani safi ,nakuhitaji nyumbani
milele niwe nawe uniweke moyoni
milele kama mina nawe upendo mpaka rohoni

nikabidhi moyo, nikupe love twende sawa
k-mbuka kila siku,truth give power
haya yote toka tangu na tangu
tabasamu mi ni wako na wewe ndo w-ngu

chorus viva & ilu x2
viva
we ni mtamu kama sugar cane
in love una stand like a captain
ilu
we ni mtamu kama sugar cane
swag kama lugha ngeni
in love una stand like a captain

verse 2 ilu
mi ni msiri moyoni na sera kali
za kukupenda wewe,ukiniacha baby ni hatari
you can be my king ,then i can be your queen
i swear ma love til d.i.e

nikiwa na wewe najihisi nipo juu
chochote utakacho sema baby nita do
i swear you drive me crazy
yeh am gon crazy,please usijenitupa nimedata na lako penzi

unanifanya dunia naiona tamu
na usije nitupa nitalia machozi ya damu
mi kwako ni chizi chizi naomba unipe lavi davi
kwako nimedata nataka nikupeleke kwa dady

siwezi sema we ni sababu yangu ya kuhema
ila una nafasi kubwa ndani ya w-ngu mtima
nikuite sweet, honey, darling sweet pie
au nikuch0r- tatoo kwa moyo mi nisikusahau

chorus viva & ilu x2
viva
we ni mtamu kama sugar cane
swag kama lugha ngeni
in love una stand like a captain
ilu
we ni mtamu kama sugar cane
swag kama lugha ngeni
in love una stand like a captain

outro
yeh viva conscious… swahili swaggz
this is how cl-ssic music is
cl-ssic music
based on true event coming

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...