washangaze - vijana wenye nguvu lyrics
washangaze lyrics
verse #1
baba, twaja kwako
hmmm
matatizo yetu yote, twayaleta kwako
maadui wetu wote baba, washangazwe. nimengi walio tutengea, wameshindwa
baraka zetu zitokazo juu mbinguni washangazwe, unavyo tubariki
mahendeleo ya kazi yako yapatikana
ehhh
hmmm
chorus:
maadui zako watahona ufanikiwavyo, wakutegeayo ndiyo baraka zako za kesho. vicheko hmm maishani mwako
akuna kitakacho kuzuwia wewe kaza mwendo x2
hmmm
verse #2
maneno yako yanipa hekima yakuwa ndani yako
nitapiga vita
nitashinda wote, waje kwanjia moja. kw*nguvu zako watasambaa kwanjia saba. ma adui wote awata niweza. mafanikio yangu kwako yapatikana
ehh ehh ehh… ohh, hmm
ehhh, hmm
verse #3
sasa maadui zangu wote jueni, ninaye simba wakabila la yuda ndiye yesu
(mfalme wawanani)
mfalme wawafalme
(ndiye nani)
ndiye bwana
ataweza kubadilisha mahisha yetu
(ehhh)
ehhh
atuwa zangu ni yеye anajua, atuwa zetu ni yeyе anajua
woah woah…
chorus:
maadui zako watahona ufanikiwavyo, wakutegeayo ndiyo baraka zako za kesho. vicheko hmm maishani mwako
akuna kitakacho kuzuwia wewe kaza mwendo x2
hmmm
Random Song Lyrics :
- one step forward - switch (rap) lyrics
- epstein rap - yolo swag studios lyrics
- lnd 2 - sensei steve lyrics
- intro - lord cartel & bgnrly lyrics
- baske - baske lyrics
- ruma/luma (ルマ) - kairiki bear lyrics
- down by the river* - thehxliday lyrics
- not mad enough - smith & myers lyrics
- paranoid - devin lyrics
- sirens ii - jessica law lyrics