nimebadilishwa - vijana wenye nguvu lyrics
nimebadilishwa lyrics
verse #1
nilipokuwa chini, yeye kaniinuwa. wakati w*ngu wa shida kanifariji
( marvelous love )
upendo waku shangaza
( marvelous love)
hmmm…
ninaishi kwa neema yake mungu
ninaishi kwa neema
ninaishi kwa neema aah…
kwa neema, kwa neema
chorus:
kwa neema tumeokolewa, aah, aah, aah
sio kwamatendo, bali ni zawadi kutoka kwa mungu. maana sisi ni kazi ya mkono wa mungu
verse #2
anitiaye nguvu mimi ni yesu christo, muhumba wa mbingu na inchi ( nguvu zangu zatoka kwake )
nimetolewa mavumbini mimi
( kwa neema)
nilikuwa mbaya nikitenda mabaya
kanitowa ubaya nikawa mzuri ili niuridhi ufalme wa mbinguni
nimekombolewa kwa neema yake bwana
chorus:
nimebadilishwa kwa neema, nimefanywa upya kwauruma zake
nimewekwa huru
yeye ni mungu
atupae nuru
( nuruuu )
verse #3
nuru x2 uh*u*u
hacha walimwengu wani shange hee, nime oko lewa na yule shujaha, simba wa yuda
nij*po pita kati ya bonde la uvuli la mauti sita ogopa kabisa maana ni naye mungu
ninaye baba, baba aaa
kwane neema nime okolewa, kwa neema aaa
chorus:
kwa neema tumeokolewa, aah, aah, aah
sio kwamatenda, bali ni zawadi kutoka kwa mungu. maana sisi ni kazi ya mkono wa mungu
————
nimebadilishwa kwa neema, nimefanywa upya kwauruma zake
nimewekwa huru
yeye ni mungu
atupae nuru
( nuruuu )
Random Song Lyrics :
- play her something - ave campbell lyrics
- remedy - enon emus lyrics
- beechwood park - the zombies lyrics
- 07/março/93 - joão tamura lyrics
- schon wie mona lisa - demis roussos lyrics
- hanging johnny - stan ridgway lyrics
- play god - everyone you know lyrics
- time & space - ante the chronic lyrics
- hope is a passenger - the kite-eating tree lyrics
- rain - astronaut lyrics