penzi sumu - victoria gichora lyrics
verse 1:
kama ni kuthibitisha penzi langu kwako
si hoja
sheria nimevunja zote
au hizi hisia tutupilie mbali
ni mara
ngapi tumeshajaribu
or maybe wa faa uwache kiwa kipofu
twashikilia mwisho wa kamba
tuwache huu mchezo
uamuzi ni wako
sema nami… baby..
chorus:
nikuote nikuwaze nijone rohi utajuta songa mbele
lakini ni kikuona ninashindwa naumia roho kweli utajuta yote.
nazama
kwenye penzi nataka
sipati nione me mnyonge hapa
nakuhitaji
uniambie hii kazi si ya bure
verse 2:
kama ni maongeo ya wasiotuhusu lazima mitihani zije
niambie tu kinachokuzia uwe w-ngu
nitaipiganie penzi
or maaybee..wafaa ufungue macho uone
hakuna chaweza kuzuia
penzi ni letu na wakati ni wetu
sema nami baby….
chorus:
bridge:
ni mimi na wewe..
na ni wewe nataka
niamini sitakuacha,noo! baby..
nikuoneshe vipi
siniache mimi hapa nikiugua
nikiumia..
sema nami baaaby…
Random Song Lyrics :
- no vale pa ná (live) - mojinos escozios lyrics
- p.a.k.a.o (пакао) - xaos trip lyrics
- garota, eu sei - cosmotel lyrics
- cherry babe (alternate version) - monique soul lyrics
- počítam (deluxe) - dame (svk) lyrics
- feel your love - dj suzy lyrics
- 03/06 - aleixactivoo lyrics
- looking back on it - cl0akz lyrics
- кружимся (spinning) - дереки (dereki) lyrics
- deep cut - towa bird lyrics