onte kamake - vereso lyrics
Loading...
verse 1
i like to move beyond my time
i like to see beyond my eyes
lakini macho yangu yanidanganya
mpaka yawe kama yako
naomba bwana
chorus
nifumbe macho, nifungue masikio
nifanye kipofu, uziwi utoe ie
nifumbe macho, nifungue masikio
nifanye kipofu, uziwi utoe ie
verse 2
o nimeshinda nikijitafuta, sijajipata
nimeshinda nikiuliza maswali
badala ya kutia masikio ndi
ili neno lako, nilisikie, linilinde
chorus
nifumbe macho, nifungue masikio
nifanye kipofu, uziwi utoe ie
nifumbe macho, nifungue masikio
nifanye kipofu, uziwi utoe ie
bridge
onte kamake
onte kamake
Random Song Lyrics :
- wir sind nicht normal - wolfgang petry lyrics
- fade away/still inside of you - the why store lyrics
- faut pas qu'tu m'quittes - louise forestier lyrics
- ghetto dreams (remix) - common lyrics
- let them hoes fight - trina lyrics
- tear it up (remix) (feat. too short & lloyd) - jeezy lyrics
- moonshine (feat.foenix) - sonitus vir lyrics
- se hace la dificil - j alvarez lyrics
- árboles frutales - café tacvba lyrics
- fire - big pokey lyrics