kesho kesho - vereso lyrics
Loading...
njoo mpenzi w*ngu
ili nikupende
mpenzi nimekutafuta
mteja haupatikani
njoo mpenzi w*ngu
ili nikupende
mpenzi nimekutafuta
mteja haupatikani
kesho kesho
nitakupenda
asemaye
kesho ni mwongo
njoo mpenzi w*ngu nikupende milele
hakuna kinachoweza kututenganisha kamwe
watoto w*ngu upendo wetu usiwe wa maneno matupu
bali uwe upendo wa kweli na wa vitendo
njoo mpenzi w*ngu nikupende milele
hakuna kinachoweza kututenganisha kamwe
watoto w*ngu upеndo wetu usiwe wa maneno matupu
bali uwе upendo wa kweli na wa vitendo
kesho kesho
nitakupenda
asemaye
kesho ni mwongo
kesho kesho
nitakupenda
asemaye
kesho ni mwongo
leo leo
nimekubali
upendo wako
wa kweli
leo leo
nimekubali
upendo wako
wa kweli
leo leo
nimekubali
upendo wako
wa kweli
Random Song Lyrics :
- abany' abantu - koko lyrics
- time in palace - konterbury lyrics
- foxy lady - resorte lyrics
- changing - ruru lyrics
- bobby and the russians - hamell on trial lyrics
- miss lovely - fiji (george veikoso) lyrics
- poptarts and juice - world$tarcriashe lyrics
- anne louise - the longest johns lyrics
- kid mvnlei - mvnlei lyrics
- pe$o - 1$tdegree lyrics