wanjapi 2 - uncojingjong lyrics
verse 1: uncojingjong
mbogi yote deep bling, tumepiga luku fisa na madini kaa bila finyo
tukiadisia mabling
na minoko zote ni mangoto ka sita, big black mister, bling back mister, big pole insta, bad ka batista
fresh na di area, rada tukipita
tushapiga luku kuja tukule wanj*pi
hook:
piga luku kula waanj*pi aha aha waanj*pi
piga luku kula waanj*pi wa wa wa wa wa wa wa waanj*pi ×2
verse 2: uncojingjong
piga luku kula mboto jump inna dih photooooooh
ni kama kuna joto vidole ni mangoto
mangoto moto motoooooooh kwa mkono wa kushoto
clarks pon clarks ah mih gang fi dih shine
mambati kwa wingi sijaomba ni za mine
lagunya delta ma cat ziko fine
ka gwanda si oriji don’t waste my time
verse 3 : maandy
mi tell my man say tangu lini niparare mimi aje aah kombato usijali sanse halafu pale ig wakule update
we daily ni kaa ni sunday maziwa mi nina kajale aah luku nilipiga ngware utanipata na ingine tena afte aah fine ting niko freshi thutha na majegi
comrade huna ticki?
kanairo utaishi aje luku nayo haitesi?
hook
piga luku kula waanj*pi aha aha waanj*pi
piga luku kula waanj*pi wa wa wa wa wa waanj*pi piga luku kula waanj*pi aha aha waanj*pi
piga luku kula waanj*pi wa wa wa wa waanj*pi
versе 4: breeder lw
piga luku kula wa wa
big baba nina mambwenya kila kaala
lola tisho jinare na gwanda
look fisa ju kuparara ni swara
luku diriba shingo inamwagika silvеr
ig iliboo after vera apate mimba
umedunga nini ma nike ama addidas?
pandisia matomi hill figure
ebu smile for the camera aha aha
ni safi ju ni fast camera ehe ehe
step out all white kama table salt
mangoto mingi ady siezi kuona my fingers crossed
uki step on my j sema ‘iza’
gikosh na toy si garissa
zero ngovo na zile fubu za issa
men i’ve been fly kabla fb na insta baba
hook
piga luku kula waanj*pi aha aha waanj*pi piga luku kula waanj*pi wa wa wa wa wa wa waanj*pi × 2
verse 5: lil maina
sijui ni sijui ni sijui ni ,sijui ni tusker au ni pilsner hivi aaai ndio inafanya naona mbili mbili
ateke unataka nini? aaai
kunipenda manze hiyo ni tricky aaai
bila uber kuna piki piki
halafu usitense basi take it easy aaai
sijui nibaki au nikuje hivi aaai
manze nimekunoki nimechizichizi aaai
nacheki buda niko stu aai
tena shashamane aah aah hi ni flu aah
wethe na ka shash na nimedi na crew
vile nimecladi wamepiga statue
manj*pi na mashosho buda hadi babu
piga luku kula mboto ndio wajue iko new
bet na madid odds kidogo man u
ati “what are we?” kwanza “who are you?” aaai
Random Song Lyrics :
- everybody - j1hunnit lyrics
- nobody cares - oscar burgos jr. lyrics
- magyarok lánya - ogli g lyrics
- estamos bien - kevin roldan, dj zetian lyrics
- drive - suck down lyrics
- アロマ (aroma) - 油屋訓辞 (kunji aburaya) lyrics
- ursnmine - 3ee lyrics
- tell her - lucy walsh lyrics
- billy ocean - j1hunnit lyrics
- rule - noisemaker lyrics