facts (freestyle) - unclelyris lyrics
ukinipa peace hawatonifatilia
maana wapo broke kama fungu la bamia
sio saizi yao wapo moja nipo mia
me and make crew kama jadu twavamia
ukileta dow sie tu twaf*gilia
mistari inashuka ka mvua za dunia
tupo back white misili ya pundamilia
bado tupo high huu urefu wa ngamia
shpapi zimejaa wanasema jomba humu ndani tunafaa una tungi au laa
tena tunapaa,haters wanachungulia bado tumewaacha chini bar kwa jamaa
ndo mana tunafaa ,fit on every sector madili yote yanakwama kwetu kila saa
gold tunang’aa , pin a bad b wanna hear me calling out ila bado umekaa
slaughter with the saw,welcome to the show
ma n*gga don’t blow , upo empty kama ndoo
bangili kaba koo,hit em on the raw
extending all the goals on me like a d*mn rope
move without hope, all the success i been looking at perishing like dust oh lord
that’s why i keep my hands on fold
Random Song Lyrics :
- beau - joseph kamel lyrics
- мечтаю о снеге (dreaming of snow) - brghtn lyrics
- взгляд (sight) - naixys lyrics
- false factor - cyta zoan lyrics
- crashing - king leeboy lyrics
- mourning the living - year of the knife lyrics
- xotic t (prod. yunfinito) - 2shanez lyrics
- no decís nada - lipe gómez lyrics
- fucked up - kodyiskool lyrics
- luminous doom - nil00 lyrics