lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

zanzibari spice - turunesh lyrics

Loading...

mapenzi yaki zanzibari
baby, we ni kitu kali
katisha roho ukisitisha
inatisha ukinani
ukishika ni faya
acha roho mbaya

shtuka ushanifika chini
tushawaka akili
asali yako ni tamu
nachovea pilipili

nadhani ni hisiya
bila sauti unasikia

shtuka tuko kati ya shuka
shika nayeyuka
nashindwa kutammka
kuamka sitaki
only you can take it
only you can take it

maji yangu ni sacramental
tumia ulimi
dunia ni mimi
asili ya mahaba
usiliye baby
peponi ni hapa
nadhani ni hisiya
bila sauti unasikia
kati ya shuka
shika nayeyuka

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...