tupo pamoja - tumaini gospel singer's lyrics
hatuogopi hatulegei
hatuogopi hatulegei
shetani kama simba anavyotutishia
shetani kama simba anavyotutishia
hatuogopi hatulegei
hatuogopi hatulegei
pamoja na bwana yesu tutashinda
ulimwengu huu wa shida tutashinda na bwana
j*po mengi yanakatisha tamaa tutashinda na bwana
pamoja na bwana yesu tutashinda
ulimwengu huu wa shida tutashinda na bwana
j*po mengi yanakatisha tamaa tutashinda na bwana
hata shetani ajipange ajipange ajipange
hatutaogopa tunao ujasiri tunao ujasiri
hata shetani ajipange ajipange ajipange
hatutaogopa tunao ujasiri tunao ujasiri
tupo pamoja na bwana
pamoja na bwana
tunahakika ya kufika
pamoja na bwana
tupo pamoja na bwana
pamoja na bwana
tunahakika ya kushinda
pamoja na bwana
tunashinda
zaidi ya kushinda kwake yesu aliyetupenda
hakika tunashinda
tunaweza katika yeye atutiaye nguvu
hakika tunaweza
tunashinda
zaidi ya kushinda kwake yesu aliyetupenda
hakika tunashinda
tunaweza katika yeye atutiaye nguvu
hakika tunaweza
tumekubali kwenda naye bwana yesu
tuko tayari tumemkubali bwana yesu
tuko tayari kuanza naye k*maliza naye
tupo pamoja na bwana
tupo pamoja na bwana
tunahakika
tunahakika ya kufika
pamoja na bwana
tupo pamoja na bwana
pamoja na bwana
tunahakika
tunahakika ya kushinda
pamoja na bwana
Random Song Lyrics :
- break inä tonka 2 - luh_4l lyrics
- do i stop or go? - late night messages lyrics
- 300 - james deberg lyrics
- untitled ##2 (theist) (tsd) - sentinel dialect lyrics
- squirt - gabino silva lyrics
- valor - 47th harmony lyrics
- beggar for your love - margo cilker lyrics
- danse macabre - ded cube lyrics
- wir schießen die milliardäre ins all - dritte wahl lyrics
- легко? (easy?) - sung (ru) lyrics