lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

dezo dezo - tshala muana lyrics

Loading...

che che che che
unapenda vitu vya che
unapenda dezo dezo

weh bwana weh yatakushinda

che che che che
pombe unaomba omba
sigara hutaki kuwacha
weh bwana weh umekuchocha

che che che che
kodi ya nyumba hulipi
maji yameshakatwa*ha
operation, kata umeme inakuja

che che che che
unataka vyote vya che
maisha yako dezo dezo
weh bwana weh yatakushinda

che che che che
unapenda vitu vya che
unapenda dezo dezo
weh bwana weh yatakushinda

che che che che
pombe unaomba omba
sigara hutaki kuwacha
weh bwana weh umetuchocha

che che che che
kodi ya nyumba hulipi
maji yameshakatwa*ha
operation, kata umeme imekuja

che che che che
unataka vyote vya che
maisha yako dezo dezo
weh bwana weh yatakushinda

wewe mtoto wa kike, acha k*mbea mbea
wewe mtoto wa kike, acha k*mbea mbea
wewe mtoto wa kike, acha k*mbea mbea
wewe mtoto wa kike, acha k*mbea mbea

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...